Just another Tanzanian trying to do his best for his country. I said na bado naamini..uongozi wa juu ukiwa thabiti. Mengine yatafanikiwa tuu. Maana watu ni wale wale. But if the top man/woman is lazy and corrupt expect the same from his/her team.
I can bet my last shilling leo hata Chenge ukimpa nafasi ya uwaziri hataiba hata senti tano! Maana He knows his boss Magufuli is supper clean!
KWA SurA HuYO WA KULIA MENGINE MSUBIRI ALIEMTEUA..Huyu ameteuliwa Jana kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU, wekeni nondos hapa tumjue, ni nani huyu
Magufuli is Super Clean??????? Duh basi sina kumbukumbu vyema mie au sijui hii lugha ya malkia pengine. Ni hilo tu
weka cv yako kwanza
Magufuli is Super Clean??????? Duh basi sina kumbukumbu vyema mie au sijui hii lugha ya malkia pengine. Ni hilo tu
Spanking CLEAN, ndio Magufuli is!
Alikua msaidiz(naibu mkurugenz Mkuu wa pccb) wa Dr Hosea
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi
Huyu ameteuliwa Jana kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU, wekeni nondos hapa tumjue, ni nani huyu
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi