Ni nani Valentino Mlowola?

Wote walifanya kwenye TAKUKURU iliyokuwa kibogoyo na walisubiri watafuniwe na DPP.
 
I can bet my last shilling leo hata Chenge ukimpa nafasi ya uwaziri hataiba hata senti tano! Maana He knows his boss Magufuli is supper clean!
Yeah, supper clean may best describe what he is and what he stands for.
  • Pamoja na kucheza ndani ta tope kwa miaka 20 bado akabaki supper clean!
  • Pamoja na kujifunika shuka moja na walioifilisi nchi kwa miaka ishirini, yeye akabaki supper clean!
  • Pamoja na trilioni 1.5 kutojulikana ziliko under his watch anabaki supper clean!
For heaven's sake could somebody please enlighten me as to what supper clean actually means?
 
Back
Top Bottom