CCM Kukubali Chongolo kujiuzulu kwa kashfa bila kuzichunguza iliziamini leo anateuliwaje na tuhuma zile bila kusafishwa?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Ni Jambo la kushangaza kwa Chama cha Mapinduzi CCM Kumteua Daniel Chongolo aliyekuwa KATIBU MKUU wa CCM aliyejiuzulu kwa KASHFA ziliyozagaa ktk VYOMBO mbalimbali vya Habari.

Ni wazi CCM iliziamini zile TUHUMA na ndio maana ilikubali Barua ya Bw.CHONGOLO ya KUJIULUZU Na kama isingeziamini basi CCM ilikuwa na Machaguo mawili KUMKATALIA KUJIUZULU au KUUNDA TUME ya Kumchunguza.CCM haikuyafanya hayo yote mawili bali ilimteua Naibu Katibu Mkuu na Kisha KATIBU MKUU.

Leo CHONGOLO Ameteuliwa kuwa MKUU wa Mkoa wa Songwe huku Watanzania bado tunajiuliza juu ya zile TUHUMA zake.

Kwanini ATEULIWE Mtu aliyetoka KUJIUZULU kwa Tuhuma zile za AIBU bila Chama chake KUMSAFISHA? CCM Kama ilikuwa bado inamhitaji Bw.CHONGOLO basi ilipaswa IUNDE Tume ipewe dondoo inazozitaka CCM ije na Majibu ya Kumsafisha. na kuwatangazia Wananchi.

Huyu ni Kiongozi wa pili ANATEULIWA huku Wananchi Wakimtuhumu kwa Matendo yake Kiongozi huyo ni MAKONDA huyu aliwahi kutumia Madaraka yake Vibaya kwa kuvamia Kituo cha Televisheni cha CLOUDS wakati wa Utawala wa MAGUFULI lakini Awamu hii Ameteuliwa kuwa Mwenezi wa Ccm.
 
Ni Jambo la kushangaza kwa Chama cha Mapinduzi CCM Kumteua Bw.Daniel Chongolo aliyekuwa KATIBU MKUU wa CCM aliyejiuzulu kwa KASHFA ziliyozagaa ktk VYOMBO mbalimbali vya Habari.Ni wazi CCM iliziamini zile TUHUMA na ndio maana ilikubali Barua ya Bw.CHONGOLO ya KUJIULUZU Na kama isingeziamini basi CCM ilikuwa na Machaguo mawili KUMKATALIA KUJIUZULU au KUUNDA TUME ya Kumchunguza.CCM haikuyafanya hayo yote mawili bali ilimteua Naibu Katibu Mkuu na Kisha KATIBU MKUU .Leo Bw.CHONGOLO Ameteuliwa kuwa MKUU wa Mkoa wa Songwe huku Watanzania bado tunajiuliza juu ya zile TUHUMA zake. Kwanini ATEULIWE Mtu aliyetoka KUJIUZULU kwa Tuhuma zile za AIBU bila Chama chake KUMSAFISHA? CCM Kama ilikuwa bado inamhitaji Bw.CHONGOLO basi ilipaswa IUNDE Tume ipewe dondoo inazozitaka CCM ije na Majibu ya Kumsafisha. na kuwatangazia Wananchi. Huyu ni Kiongozi wa pili ANATEULIWA huku Wananchi Wakimtuhumu kwa Matendo yake Kiongozi huyo ni MAKONDA huyu aliwahi kutumia Madaraka yake Vibaya kwa kuvamia Kituo cha Televisheni cha CLOUDS wakati wa Utawala wa MAGUFULI lakini Awamu hii Ameteuliwa kuwa Mwenezi wa Ccm.
Watanzania kama akili zetu hazitafunguka
tukaendelea kukumbatia huu upuuzi wa ccm tutakuwa wajinga sana.mafuska bado yanarudishwa kwenye mifumo halafu tunaona sawa na hatukemei huo ujinga.Nimeaamini watz tuko wajinga sana kenya au malawi huwezi kuona ujinga huu na hii ni sababu ya katiba ya hovyo aliyoitengeneza Nyerere pamoja na utawala wake wa hovyo kabisa
 
Ni Jambo la kushangaza kwa Chama cha Mapinduzi CCM Kumteua Daniel Chongolo aliyekuwa KATIBU MKUU wa CCM aliyejiuzulu kwa KASHFA ziliyozagaa ktk VYOMBO mbalimbali vya Habari.

Ni wazi CCM iliziamini zile TUHUMA na ndio maana ilikubali Barua ya Bw.CHONGOLO ya KUJIULUZU Na kama isingeziamini basi CCM ilikuwa na Machaguo mawili KUMKATALIA KUJIUZULU au KUUNDA TUME ya Kumchunguza.CCM haikuyafanya hayo yote mawili bali ilimteua Naibu Katibu Mkuu na Kisha KATIBU MKUU.

Leo CHONGOLO Ameteuliwa kuwa MKUU wa Mkoa wa Songwe huku Watanzania bado tunajiuliza juu ya zile TUHUMA zake.

Kwanini ATEULIWE Mtu aliyetoka KUJIUZULU kwa Tuhuma zile za AIBU bila Chama chake KUMSAFISHA? CCM Kama ilikuwa bado inamhitaji Bw.CHONGOLO basi ilipaswa IUNDE Tume ipewe dondoo inazozitaka CCM ije na Majibu ya Kumsafisha. na kuwatangazia Wananchi.

Huyu ni Kiongozi wa pili ANATEULIWA huku Wananchi Wakimtuhumu kwa Matendo yake Kiongozi huyo ni MAKONDA huyu aliwahi kutumia Madaraka yake Vibaya kwa kuvamia Kituo cha Televisheni cha CLOUDS wakati wa Utawala wa MAGUFULI lakini Awamu hii Ameteuliwa kuwa Mwenezi wa Ccm.
Usiwe mjinga....tiss wanacheza akili zetu ....Chongolo ni senior tiss agent muda wake umeisha ccm...akampisha ajaye....yuko kazini tuamke ...upinzani na ccm uvccm wamejaa tiss...asante
 
Lengo la kumchafua lilikuwa ni kumtoa kwenye ile nafasi... Sasa huko alipo hana hatari wala athari yeyote kwa Sukuma Gang....

Hii vita wanapigana huko ndani inaenda kung'oka na mibuyu
 
Kiongozi akijiuzulu labda uwe na ule ukaribu wa anko na shemeji ndio utakataa ombi lake na kumwambia endelea na hiko kiti. Dunia nzima akijiuzulu mtu ndio njia pekee atoke kwa utulivu. Mtu huyo au kiongozi huyo ni rahisi kurudi mbele za watu auu kwenye uongozi. Tofauti utolewe. Hakuna kosa kumrudisha chongolo.
Mtu makini kama yeye. Na mbona ile ajali alliielezea kwenye barua yake. Mnataka nini cha ziada?
 
-302725022.jpg
-302725022.jpg
 
Usiwe mjinga....tiss wanacheza akili zetu ....Chongolo ni senior tiss agent muda wake umeisha ccm...akampisha ajaye....yuko kazini tuamke ...upinzani na ccm uvccm wamejaa tiss...asante
Hawa tiss wanafanya kazi hapa nchini ambayo tunajivunia?
 
HUWEZI kujua, labda CCM inapenda watu Kama huyo
Wahenga walisema ukitaka kujua tabia ya mtu, waangalie washirika wake.
 
Chadema fanyeni siasa mjenge chama acheni kukalia majungu!
Wananchi hawataki majungu bali utetezi dhidi ya kero za kitaifa!
Nyingi Chadema ya kwenu pia tunayaona ila hatuna muda zaidi kufuatilia zaidi ya kuwasubiri kwenye debe!

Sasa hivi Chadema mnalipana posho za maandamano bila aibu jambo ambalo ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambayo ni jasho la walipa kodi wa nchi hii.
Mbowe ametumia sehemu ya ruzuku ile 2.7b waliyopewa majuzi na kwenda kumalizia mjengo wake binafsi kule Moshi na kisha kuwaita Kina Heche kupiga selfie!
Acheni usaga SUMU!
 
kaka inawezekana una amini ipo siku shetani ataacha dhambi sahau hilo, ccm ni ile ile. hata ukitaka kuiba ndani ya nchi hii katafute nafasi ccm rahisi sana, wanahitaji wezi na watu wenye tabia kama hizo kubaki madarakani.
 
Usiwe mjinga....tiss wanacheza akili zetu ....Chongolo ni senior tiss agent muda wake umeisha ccm...akampisha ajaye....yuko kazini tuamke ...upinzani na ccm uvccm wamejaa tiss...asante
Akili matope? Kwani ilikuwa lazima atolewe kwa kashfa?
 
Chadema fanyeni siasa mjenge chama acheni kukalia majungu!
Wananchi hawataki majungu bali utetezi dhidi ya kero za kitaifa!
Nyingi Chadema ya kwenu pia tunayaona ila hatuna muda zaidi kufuatilia zaidi ya kuwasubiri kwenye debe!

Sasa hivi Chadema mnalipana posho za maandamano bila aibu jambo ambalo ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambayo ni jasho la walipa kodi wa nchi hii.
Mbowe ametumia sehemu ya ruzuku ile 2.7b waliyopewa majuzi na kwenda kumalizia mjengo wake binafsi kule Moshi na kisha kuwaita Kina Heche kupiga selfie!
Acheni usaga SUMU!
Sio wote wanaochangia hii hoja ni chadema Acha Ujinga
 
Yaani CCM bana, mtu anayetongoza wake wa watu kwa kutumia madaraka yake unampa tena li cheo likubwa la utendaji mkuu hapo mkoani, si atatumalizia wake zetu wajemeni - ndugu Rais ni vipi haya mambo
 
Back
Top Bottom