Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,783
KWA SurA HuYO WA KULIA MENGINE MSUBIRI ALIEMTEUA..
KWA SurA HuYO WA KULIA MENGINE MSUBIRI ALIEMTEUA..
Asante kwa ufafanuazi kaka, nimeelewa.Kaka hicho cheo cha naibu mkurugenzi amekipata hata mwezi haujaisha.alikua Rpc wa Mwanza akateuliwa ktk nafasi hiyo jamaa ni jembe na nimchapakazi kwelikweli
Unaibu kapewa wiki tatu zilizopita...! how do you hold him accountable!??
Aise ni kweli kuna anko yangu alikua ni moto wa kuotea mbali kwenye mambo ya msingi pamoja na shule,yaani hata unaumwa utaenda shule tu labda mwalimu ndo akatae,manufaa yake watoto wa kwanza wote walisoma shule na kumaliza hadi chuo kikuu.Bahati mbaya mola alimchukua,baada ya uongozi thabiti kutoweka,mitoto ya mwisho iligoma shule na ikawa michuro tu......Just another Tanzanian trying to do his best for his country. I said na bado naamini..uongozi wa juu ukiwa thabiti. Mengine yatafanikiwa tuu. Maana watu ni wale wale. But if the top man/woman is lazy and corrupt expect the same from his/her team.
I can bet my last shilling leo hata Chenge ukimpa nafasi ya uwaziri hataiba hata senti tano! Maana He knows his boss Magufuli is supper clean!
Kaka hicho cheo cha naibu mkurugenzi amekipata hata mwezi haujaisha.alikua Rpc wa Mwanza akateuliwa ktk nafasi hiyo jamaa ni jembe na nimchapakazi kwelikweli
Huyu ameteuliwa Jana kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU, wekeni nondos hapa tumjue, ni nani huyu
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi
Simfahamu sana..
Ila najua ni Polisi mbobezi katika masuala ya Intelligency/Ukachero pia naTerrorism/Ugaidi.
United Nations hapo siku za nyuma wamekuwa wakimtumia sana katika hayo maeneo.
Ni Mwanasheria kitaaluma.

alipewa unaibu na magufuli kutokea polisi tulitabiri tokea pale
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi