Ni nani Valentino Mlowola?

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Huyu ameteuliwa Jana kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU, wekeni nondos hapa tumjue, ni nani huyu
 
Just another Tanzanian trying to do his best for his country. I said na bado naamini..uongozi wa juu ukiwa thabiti. Mengine yatafanikiwa tuu. Maana watu ni wale wale. But if the top man/woman is lazy and corrupt expect the same from his/her team.

I can bet my last shilling leo hata Chenge ukimpa nafasi ya uwaziri hataiba hata senti tano! Maana He knows his boss Magufuli is supper clean!
 
Magufuli is Super Clean??????? Duh basi sina kumbukumbu vyema mie au sijui hii lugha ya malkia pengine. Ni hilo tu
 
Huyu ameteuliwa Jana kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU, wekeni nondos hapa tumjue, ni nani huyu
KWA SurA HuYO WA KULIA MENGINE MSUBIRI ALIEMTEUA..
 
Attachments

  • IMG_1744804504611.jpeg
    IMG_1744804504611.jpeg
    54.6 KB · Views: 2,984
Simfahamu sana..
Ila najua ni Polisi mbobezi katika masuala ya Intelligency/Ukachero pia naTerrorism/Ugaidi.
United Nations hapo siku za nyuma wamekuwa wakimtumia sana katika hayo maeneo.
Ni Mwanasheria kitaaluma.
 
Ni jembe lingine kutoka kusini Mwa Tanganyika.very creative! mchapakazi mahiri na kamanda Mpiganaji ktk Jeshi la Polisi.Mtu mwenye Msimamo.
 
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi

Unaibu kapewa wiki tatu zilizopita...! how do you hold him accountable!??
 
yale yale, alifanya nini kwa nafasi yake ya usaidizi kumsaidia mkurugunzi mkuu? Rais angeteua mtu toka nje kabisa ya hiyo taasisi

Kaka hicho cheo cha naibu mkurugenzi amekipata hata mwezi haujaisha.alikua Rpc wa Mwanza akateuliwa ktk nafasi hiyo jamaa ni jembe na nimchapakazi kwelikweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom