Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Mgombea ana haki ya kujipigia kura.

Mimi kwamtoro bila shaka members humu wananikubali.

Kunguni, Parata, Mende and other 12 Like this
 
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...

Mimi hapa!!!
 
ok hadi sasa naona wote naona mna hekima sana isipokuwa mmoja tu ndio sijamuelewa sijui alikurupuka au vipi..anaitwa kongosho
 
Ushauri gani kwani wa ndoa. wa kisiasa. wa kiroho. wa kimwili. wa chakula au gani unataka sema maneno yasikike.
 
lazima utasikia ...'dada nina shida seriously...ni masuala ya kimapenzi tu'....we utaona!
Ushauri gani kwani wa ndoa. wa kisiasa. wa kiroho. wa kimwili. wa chakula au gani unataka sema maneno yasikike.
 
Mie nakupendekezea HIMIDINI ila pls pls pls usimtaje ASNAM labda tu utakapokua unataka ushauri wa kutumia pesa ndo umsake huyu dada.
 
Kila mwana JF ana ushauri mzuri,unapoona kwako ushauri ni mbaya huwa ni mtizamo wako tu na ndio namna ambavyo wewe unaona.
 
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...
Hebu mjomba kwanza tulia maana kila mtu na muonjo wake.

Join Date : 13th December 2013
Posts : 16
Rep Power : 304
Likes Received0
Likes Given2
 
ok hadi sasa naona wote naona mna hekima sana isipokuwa mmoja tu ndio sijamuelewa sijui alikurupuka au vipi..anaitwa kongosho

Yani mke wa ujana wangu Kongosho ndo unasema kakurupuka? Mtu mwenye heshima yake mpk vyama vinamgombea awe diwani wa viti maalum?

FYI mtu mwenye sura ya rangi ya khaki ni mimi mod mkuu wa JF. Unabisha nikulambe ban??
 
Last edited by a moderator:
Mlambe ban huyu, hana adabu kabisa.

Back
Top Bottom