Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Kwa mda wangu niliopo JF mtu ambaye naona ni namba moja kwa ushauri wa kila aina ya Mada

Ambapo kila anapotoa mawazo yake anaigusa jamii kwa ujumla

Kwakweli Mungu kamjalia Hekma sana maana hivi ni vipaji ambapo ni wachache sana walionanyo

Si mwingine ila ni gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...

Mshauri mzuri aliyejaaliwa Hekma na Busara kwa hapa JF na kwa kila mada ambae akiongea ni lazma upate concept flani na siku zote huongea vitu logic kwa issue zilizo serious

Mimi binafsi sijaona mpinzani wake
Si mwingine ila ni gfsonwin pekee

Hongera sana gfsonwin ni kipaji Mungu kakujalia!!
 
Last edited by a moderator:
kwa haraka tu kuna the boss, heaven on earth, jamiif, charming lady, michango yao ni mizuri sana bila kumsahau mzizimkavu.

Bado yupo brother watu8 mi binafsi nampa kongole
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu maana hapa bwana kuna watu wamepinda sana ndio maana nataka nijue washauri wazuri ni akina nani ili niwamention wakati naweka shida yangu hapa...asante.

Usisahau kabla hujawa mention utoe angalizo kuwa naomba nishauriwe na nitakao wamention hapa tu!!!
Ukiona ngumu hiyo basi wapelekee shida zako pm watakushauri
 
Usisahau kabla hujawa mention utoe angalizo kuwa naomba nishauriwe na nitakao wamention hapa tu!!!
Ukiona ngumu hiyo basi wapelekee shida zako pm watakushauri

Umeona eeeeeeee una akili sanaa
 
Umeona eeeeeeee una akili sanaa

Anatuchosha tu hapa!
Mkulima hasa anachaguaga jembe? Akichagua wa kumshauri hana shida na siku akiwa nayo hatawakumbuka hao washauri wazuri ataibandika bila kum mention hata mmoja!
 
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...

Majigambo ni mshauri mzuri humu jf
 
Washauri wazuri inategemea shida yako kwa nionavyo mimi nahisi wengi washauri vizuri uwe na amani tu weka hoja yako ili ujue who is who humu ndani. Ijapokua bado hautaweza kuwatambua wote nataka nikutie moyo tu usiogope weka mada .
 
kweli kabisa.
na ushauri mzuri kwa mtu mmoja unaweza usiwe mzuri kwa mtu mwingine. Kwa sisi wamasai wa porini ukirudi nyumbani ukakuta mwanaume mwingine yuko ndani na mamatoto,ushauri mzuri ni kwamba unatakiwa uondoke na usirudi mpaka jamaa aondoke. Lakini kwa wachaga unatakiwa uchukue bastola uwamalize.
 
Kuna jamaaaa mmoja anaitwa Lyamber...ni shidaaaaa....!! Professional mshauri huyu...over...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom