Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Ni nani mshauri mzuri humu jf?

Ujue ufanyaje wote wanaochangia jf wako sahihi kabisa
na usipomuelewa alivyosema na wewe hakuelewi unachoongea
Tafadhalini wakuu, naomba tutajane kwa majina ni nani mchangiaji mzuri humu jf yaani kwa maana kwamba yeye huwa anatoa busara zake na zinakubalika? maana humu nimekuwa nikiona wengine wanatoa majibu mabovu sana hata wakati mtu anapoomba ushauri wa jambo la msingi kabisa...
 
mm nawakubali wote wanaochangia bila kuangalia nani kaweka bandiko.
lakini lara 1,sister,watu8,karucee na mzizimkavu nawakubali zaidi
 
Kuna gfsowin,angel nylon nawakbali kinoma...ila that biyach lara.1.
 
dogo sema shida yako sasa mbona jii? funguka tu..kuhusu ushauri mzuri ni wewe ndio utachanganya na zako na kuamua ufuate lipi...
 
Back
Top Bottom