tetere
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 963
- 433
Majigambo dont be over sensitive or defensive unapotaka ushauri. Uzuri wa usahuri wa hapa ni kuwa unaupata woooote mbaya na nzuri (ambayo ni njia nzuri ya kutambua hata mtaani watu wanafikiriaje hilo unalolitafutia ufumbuzi.
Kazi yako sio kuziba masikio lisiingie usilolipenda - kazi yako ni kukaa chini na kuitafuta busara na hekima (kama unaweza kuitambua ukiiona).
Hivyo nakushauri uwe jasiri, weka mada mezani na utajuwa wanadamu walivyo na ukibahatika - utapata majibu au utaona mwanga mpya. Ila nikuhakikishie lazima utajifunza jambo jipya!