Ni nani mmiliki wa Mwanaume?

Ni nani mmiliki wa Mwanaume?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Fuatana nami katika malumbano haya.

Mama :-
"Mimi ndiyo mmiliki wa mwanangu , amenyonya ziwa langu!"

Mke :-
"Haahaaa! Hilo ziwa lako kanyonya miaka miwili! Langu analinyonya huu mwaka wa 17! Na bado anaendelea kulinyonya!"

Mama :-
"Mi nimem'beba tumboni miezi 9!"

Mke :-
"Haahaaa! Wewe Mama ulim'beba akiwa na kilo 2-10! Tena kwa miaka 4-5 , mimi nam'beba huu mwaka wa 17! Na kilo zake 95! Na nnaendelea kum'beba!"

Mama :-
"Mi amepita ktkt ya mapaja yangu!"

Mke :-
"Haahaaa! Wewe kwako alipita mapajani kwako mara 1 , kutoka tu! Mie anaingia na kutoka kwa wiki haipungui x 5! x 17! Tena usinipotezee mda kaniita akaniingie katikati ya mapaja muda huu!"

Hapa mshindi nani?
 
Nimewapigia king'ora...wamechemka wote.
 
mwanamke alitoka ubavuni kwa mwanaume...baaaasi
 
Elezea mmiliki ktk nyanja gani???.
 
Back
Top Bottom