deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Sijasema gari huo ni mfano tu kwani wenye vyombo vingine itikadi zao tunazijua? Ukifuatilia sana hilo kila jambo mmiliki nani basi huwezi shirikiana jambo mtu kisa mnatofautiana mitazamo.
Sent using Jamii Forums mobile app