Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Mm wananikera sana na vipindi vya makanisa ya kupumbaza watu...yaani naangalia the way watanzania tulivyo kichwani..........

Vp kuhusu yule anayefanya kipindi cha nyota zenu mkuu?
 
mm najua ni muhindi flan anaitwa chande sijui
 
Msaada kwa anayejua mmiliki wa Chanel ten

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Msaada kwa anayejua mmiliki wa Chanel ten

Post sent using JamiiForums mobile app

Wahindi fulani wenye jina la ' Ukoo ' la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba SC na ' Tajiri ' mmoja ambaye ni leo tu ameipandisha Simba SC ' Ndege / Mbung'o ' kwenda ' South ' kwa Madiba na ambaye anaitaka mno Klabu. Ila Bosi wao Mkuu hapo ni Madam Dina Chahali akisaidiwa na akina Dativas Mango na ' Brazameni ' mmoja hivi ' Mngoni ' wa Kwanza kuwahi kuishi Oysterbay Nicky Ngonyani.
 
Tv za Kenya haziwezi kutowa coverage ya mazishi ya Kanumba, kuna vitu vingi vya msingi vya kuripoti.
Sasa mbona mirindimo ya ngoma yetu Vanga mwenzenu unacheza kwasakwasa?
 
Katangazo Kako ka nusu Dakika kanahusiana nini na Mmiliki wa Kituo?
Huna lolote mfukunyuku wa mambo ya watu wewe.
 
Mm wananikera sana na vipindi vya makanisa ya kupumbaza watu...yaani naangalia the way watanzania tulivyo kichwani..........
Peleka matangazo yako wewe unafikiri wanaendesha kwakutumia mwarobaini mkuu acha kuangalia wakifika kina mzee wa upako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sifahamu mmiliki wa channel 10 nilikuwa nasikiliza tu Magic FM na Channel 10, safi sana buana.

Je, wewe ulikuwa unalifahamu hili? Nilikuwa nadhani ni mali ya Rostam na wengine kumbe looh
 
Back
Top Bottom