Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Nilikuwa sifahamu mmiliki wa channel 10 nilikuwa nasikiliza tu Magic FM na Channel 10, safi sana buana.

Je, wewe ulikuwa unalifahamu hili? Nilikuwa nadhani ni mali ya Rostam na wengine kumbe looh
mbona yenu hamuanzishi msikilize kazi yenu kelele kila.siku ofisi imewashinda kila.siku kelele jitahidini muweke yenu mtangaze mnayotaka sio kila.siku kusema hamsikii myapendayo.muhim hapa fungueni yenu redio na TV mtangaze maupuzi yenu mnenepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kipindi nahc ilikuwa ni mwezi wa 11,nilimuona rostamu akiwa na Magufuli na walikaa kikao cha muda mrefu kumbe ndio walikuwa wanauziana ni mwaka uliopita,nilijiuliza sana nikahic labda jamaa anataka anunue kahawa kule kusini kumbe ndio walikuwa wanasaishana duuuuh ,hele yetu ya kodi sisi tunaendelea kuumia mtaan hlf rais wetu anaongeza idadi ya tv na redio mila namshukuru Mungu vyombo vyote vinavyomilikwa na ccm havipendwi mjini labda vijijini,akitaka anunue ITV na redio zote ila uzuri wa mke ni tabia si sura pia chema siku zote hujiuza ila kibaya hujitembeza
Wewe ndiyo umeona, magufuli kanunua kisiri kwa rostam, na hakuna wa kumuuliza, lumumba yote ganzi
 
Back
Top Bottom