Aman iwe kwenu,
Naomba kujua ni nani mmiliki wa kituo cha habari chanel ten.
Mkuu nimeona nisipite bure!!ila tread yako kama ima mahungu na kaunafiki kiiidogo!! Yaani wee matangazo yako umeacha kupeleka kisa umeambiwa hiyo station ya mtu fulani!!!huo ni ubaguzi!!kwa hiyo umebadili hayo matangazo unapeleja kwingine!![emoji86] [emoji86] [emoji86] binadamu bhana!!!Wadau nina matangazo yangu ya kikampuni changu, na nilikuwa napanga kupeleka pale channel Ten, sasa nikampigia simu rafiki yangu anisindikize ndipo akaniuliza kwani na wewe ni fisadi? nikamwambia sijakuelewa ndipo akaniambia kuna kituo hicho kimenunuliwa na mafisadi yule Mwitaliano hayupo.
Akasema kinamilikiwa na Rostam Aziz pamoja na Edward Lowassa nikabaki mdomo wazi. Ila naye hana uhakika. Mwenye kuujua ukweli huu atujulishe ili tusiendelee kuwaunga mkono mafisadi.
acha proganda chafu ili kila kinachoonekana kipo tufauti na mlengwa wa kushoto kionekane kibaya na kinatumika ivii startv niyanani mbona ilo swali hujawai kuuliza hao ulio wataja ndio wamiliki hawahusiki na chochote hapo achakudanganya watu kwa story za kutungaWadau nina matangazo yangu ya kikampuni changu, na nilikuwa napanga kupeleka pale channel Ten, sasa nikampigia simu rafiki yangu anisindikize ndipo akaniuliza kwani na wewe ni fisadi? nikamwambia sijakuelewa ndipo akaniambia kuna kituo hicho kimenunuliwa na mafisadi yule Mwitaliano hayupo.
Akasema kinamilikiwa na Rostam Aziz pamoja na Edward Lowassa nikabaki mdomo wazi. Ila naye hana uhakika. Mwenye kuujua ukweli huu atujulishe ili tusiendelee kuwaunga mkono mafisadi.
Hahahaaa.... watu mna majibu yenu,Iko chini ya Polepole kwa sasa
Lowasa alikutia mimba kwa style ya dog style?huishi kumtajaRafiki wa Lowasa...