Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Mkuu, tunawaachia wenye nayo, japo nao hawatakagi Vyombo vyao. Mfano Uhuru na TBCCM! Sasa sielewi kawanini hawajifunzi kwa Upumbavu wao!
 
Nilikua sifahamu,kikubwa wazingatie taaluma na sheria hoja ni ya nani sioni umuhimu sana tusipokua makini hata vyombo vya usafiri hatuwezi panda kikubwa waboreshe mitambo ionekane vizuri tuburudike na kuelimika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana imepeleka sembe na mboga kwa bibi yako shamba


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbuka Siku ile ilikua ni sherehe ya ccm kwahio nadhani ilikua rasmi inatambulishwa ukisema hoja ya biashara je radio na tv hata usafiri mbona wamiliki wanajulikana hata baadhi ya itikadi zao je biashara haziendi? Kikubwa iwe ya kibiashara kama ilivyotamkwa siku ile.
Maghufuli hajui biashara...hata kama ni ya ccm ckuona haja ya kutangaza.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha morning magic.. Sasa wakianza kuwapamba kijani sisikilizi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom