mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
​hapana mkuu aliyepigwa risasi alikuwa ni Hayatahhhhhhnyie frelimo kuna jamaa alikuwa anaitwa uncle miki alikuwa anshinda stand kina cool 9 walikuwa wanakaaa.sema hao waburushi walikuwa wezi walipigwa risasi katika godown la RTC mlandege enzi hizo.ila aya mastori niyazamani sana mkuu