Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

Unaikumbuka Taxi no.14 ya Mzee Roka?
Peugeot 404
images
ha haha haaa mzee wake mariam badela
 
Nilikuwa nachart na jamaa flani walipata kuish nae ubungo miaka ya nyuma anasema jamaa alikuwa HB flani hv la kiarabu so madem wa enzi hizo wakawa wanamshobokea saanaaa kwa huo uhb wake.na ndicho kilichomuua maana inasemekana aliondoka na huu ugonjwa wetu.watu wakasema amerogwa kwa kuwa anapiga sana watu lakin inadaiwa hyo haikuwa kweli kilichomuondoa ni ngwengwe
 
Miaka ya 80-90 kulikuwa na jamaa mmoja mitaa ya Manzese na Magomeni alikuwa anaitwa Cool 9. Huyu bwana alikuwa ni maarufu sana Dar es salaam na chanzo cha umaarufu wake ni kwamba huyu jamaa alikuwa ni fundi sana wa kupigana.

Alikuwa nafikiri ndio mbabe wa dar es salaam enzi hizo sasa sijui aliishia wapi mana alisifika sana.Kwa yeyote mwenye kumjua na kujua vituko vyake si vibaya tukakumbushana vitu vya zamani, ingawa vingine vilikuwa vinachukiza lakini maudhi yake yameshamezwa na wakati na itakuwa kama kumbukumbu kwa matukio tusiyoyajua.

Tumjadili jamani

sasa siisi wa mikoani tutamjuaje tuwekee picha tumwone hhahahahahaaaaaaaa
 
Hahahaaaaa! Mpaka niwe na Mamushka Lara 1 mutoto ya migo migo ndo anaemjua uzuri, mie ananihadithiaga kidogo kidogo katika shindano letu lisilo rasmi la MAMA VS MWANA NANI ANATEKETEZA BATA ZAIDI KATIKA UJANA!!!! Hahahaaaaa! Nampaga ushindi wa mezani tu, manake KULA BATA ENZI HIZO WAKATI WENZIE BUSY WAKIJENGA NCHI SI MCHEZOOO!!!! Sasa kuonesha yeye zaidi ndo ananipaga stori za wakali wa enzi hizooooooo!

Nyingine nilisikiaga kuwa akienda kwenye vilabu au sehemu ya pombe anaanzisha vagi lolote afu anamwga ile mitingasi na kukomaa wamdai yeye ili aonekane anazooooo.
bestito lara 1 umebadilisha avatar yako au vipi siielewi kabisa best nin kimetokea tena
 
Co Wewe Tu Last Emperor Hata Mm Huku Kwetu MburahAti Nshawatifua Sana Watu Za Chemba Zamani Natamani TenA Zama Zile Zirudi Tupeane MakonDe Tu Mitaani Watoto Wadogo Waweke Heshima Mitaani..yaani Naugwadu Wa Kutwanga Mtu Kinyama..
 
Yaani Bwana Ww Mi Namaliza Migomba Tu Huku Nondo Sana Ila Cjapata Human PunchNg Bag Tu.nahamu Ya Kutifua Mtu We Acha Tu.
 
Kuna mdogo wake cool 9 ana ukaribu sana na jamaa yangu flani huko mkoani.ntajitahid kumshawish aje hapa jf atupe mastori ya ubabe wa kakayake
Poa basi Doyi utakuwa umefanya jambo la maana sana hembu mwonyeshe huu uzi halafu mwambie tunataka na yeye achangie zaidi
 
nilikutana nae mara ya mwisho mwaka 2002 ila aliniambia kuwa alifariki sikumbuki aliniambia ni mwaka gani,jamaa walikuwa wanaishi maeneo ya kitanzini mkoani Iringa akiwa yeye kaka yake shedadi wadogo zake hayati,ambae aliuwawa kwenye tukio la ujambazi kwenye magodown ya RTC mlandege,jamaa mkono mmoja ulikuwa na jeraha la risasi baada ya kutwangwa na dereva wa malori,aliwasumbua sana polisi pale Iringa
duh kumbe kitanzin ina wababe tangu siku nyingi? Hadi sasa bado kuna magrupu ya wakorofi wamajiita kitakita. Ni wakorofi balaa
kulikuwa na ka mtindo flani songea miaka ya themanini. Nilikuwa std three tulipohamia songea nikakuta watoto wagomvi shuleni vibaya mno, ugomvi nje nje mkizipiga ukimdunda utasikia naenda kuagizia, hapo anamaanisha anakwenda kumtafuta mtu au kikundi waje wakudunde. Utashangaa mmetoka maeneo ya shule unakutana na wababe wanakusubiri kitakacho endelea hapo ni kichapo hahaaa

Kule kwetu kulikuwa na Pawa Mwanza, pawa Mabula, Pawa Sozia na Pawa Malimao

Walikuwa wanapiga hadi chai maharage zinaanguka
 
Dah jamaa al8kuwa anamchukua dada yangu amina kwa lazima... Anakuja gangilonga anamchukua wanaenda nae mapinduzi primary sie tunabon"gaa tu sku moja sista akajificha dah alichapwa... Bora tulivohama..
 
Back
Top Bottom