Abdala Selemani, Polisi aliyewaliza wahalifu wakimuona

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Jina sio geni kwa wale watukutu kama mtakuwa mnakumbuka maeneo ya Magomeni, Manzese, Mburahati, Mbagala na sehemu zingine ambazo kapitia.

Abdala Selamani alikomesha sana wale watukutu na akikupeleka Mahakamani ujue unakwenda jela.

Mateja, wezi, wacheza kamari na n.k . Ukimatwa na Abdala na siku akikuambia unakwenda jela utajuta kila siku ya mahakama yupo mpaka unakwenda jela.

Huyu askari alitakiwa kushika kanda ya pwani maana jeshi la mtu mmoja.

Kituo nachokumbuka alikuwa Magomeni, Dar es Salaam.
 
Weka picha mkuu. Siku hizi ukiwaletea watu maelezo mengi bila picha, inakua ni sawa na kumtembeza mtu mzima uchi bila nguo.
 
Back
Top Bottom