Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Yunus mgaya atapewa ili Ku balance

Teuzi ikabainika imefanyika kwa misingi ya ku balance, aliyeteua na aliyeteuliwa tutawaambia wajiuzuru.

kubalance dini au kabila hushabiisha mgawanyiko, kajifunzeni Nigeria na Burundi wao wana utaratibu wa ku balance lakini mpaka leo hawajafanikiwa kuwa wamoja.
 
Huu nao ni uchochezi, mambo ya vatican yanaingiaje jamani?
umeona nimebeba chocheo?:confused: Siku hizi ukweli wote huitwa ni uchochezi..... msilete mambo ya Ujinga Jazz band hapa people we have a right to speak tutapaza sauti kama mababu zetu walivyopaza kwa wakoloni... Serikali ni yetu na sio ya makatiri
 
Hivi ukiambiwa na Jamuhuri ya Muungano utoe ushahidi kwa ulichokisema "Majina lazima yapelekwe kwanza Vatican" utapona kweli?
 
Hivi ukiambiwa na Jamuhuri ya Muungano utoe ushahidi kwa ulichokisema "Majina lazima yapelekwe kwanza Vatican" utapona kweli?
We nadhani huna elimu ya Sheria kuna mipangilio yake hadi ukutwe na Mashitaka... Pole Sana punguza Uoga... na tambua waoga hawatouona uflame wa Mbinguni...Inaelekea hapo ulipo unatetemeka mwili mzima
 
Kwanini hilo dili asipewe yule prof wa Buguruni kama zawadi? maana si ameshafundisha kwa miaka kadhaa pale?
 
Huyo Prof Yunus Mgaya pamoja na yule mwenzie Prof Makenya Maboko wametufanyia mambo ya ajabu sana kipind hicho udsm
 
its a political issue. tusiwe watabiri tuache machinnery ifanye kazi
influence
1. the outgoing VC
2. Prof. Joy
3. Chancellor- mteuaji
mwenye maamuzi ni Dr MAGU!!
 
Mambo gani hayo
Waliengeneer sana wanafunz weng kufuzwa chuo wanapodai hak zao, kupigwa mabom wanapodai hak, vitisho visivyokoma kila siku.... wao ndio wameizika ile revolution square platform ya kudai hak udsm. Ck hz rev square hamna watoto wanaish km secondar kipind chetu moto ulikua unawaka sana hapo
 
Back
Top Bottom