Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

Kwa Vyuo Vikuu inahitaji kupata Prof. yeyote MUHAYA (from Bukoba aliyesomea PhD yake CAMBRIDGE, UK ama HARVARD, USA), maana ndio wenye uzoefu na mambo ya vyuo vikuu duniani. Mifano hai ipo hakuna haja ya kuchoshana.
Mbona mkaliandala hakusoma hivyo vyuo na ni nshomile.?
 
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. Kitila Mkumbo,
2. Prof. Wineaster Anderson,
3. Prof. Benson Bana,
4. Prof. Bernadetha Kilian,
5. Prof. William Anangisye,
6. Prof. Cuthbert Kimambo,
7. Prof. David Mfinanga,
8. Prof. Sifuni Mchome?
9. Prof. Yunus Mgaya
10.......................................ama nani?
NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
Prof Olele Sendekia wa University of Kijani
 
Kipimo ni hiki! NANI ANAJIKOMBA SANA--------
 
Kuna huyu Jamaa anaitwa Prof Palamagamba J. Kabudi huyu Jamaa namkubali sana katika kipindi nilipokaa hapo UD japo sikuwa School of Law!! ila Kuna huyu Prof Cajetan Maganga almaarufu mzee wa EF wale wa cafe1 watakuwa wanamfaham naona wampe tu!!!
 
Akiwahutubia wanafunzi wa mwaka wa kwanza (mwaka wa masomo 2016/17), kwenye mahafali ya Main Campus na kule MUCE. Prof. Mukandala ametumia nafasi hiyo kuwaaga wanafunzi maana hayo ndo mahafali ya mwisho akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu. Je ni nani kuchukua mikoba yake? Any intelligent Guess?
1. Prof. Kitila Mkumbo,
2. Prof. Wineaster Anderson,
3. Prof. Benson Bana,
4. Prof. Bernadetha Kilian,
5. Prof. William Anangisye,
6. Prof. Cuthbert Kimambo,
7. Prof. David Mfinanga,
8. Prof. Sifuni Mchome?
9. Prof. Yunus Mgaya
10.......................................ama nani?
NB: Search Committee ilishafanya mchakato wa awali na majina kadhaa yamepatikana, la muhimu wanafunzi kupitia DARUSO watoe ushirikiano.
Kwa mujibu wa University Charter, Chancellor ndio anateua jina moja katika hayo yaliyoletwa kwake ili kuwa Makamu Mkuu wa Chuo.
1.Professa Paramaganda Kabudi.
2.Prof Makenya Maboko.
 
Kwani chancelor lazima awe professor?

Ma Dr. Je?
 
Back
Top Bottom