Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,840
- 20,254
Dah!Kifo cha mch Mtikila ni kifo tata kweli kweli
Kinahusianishwa moja kwa moja na mkuu wa Watutsi na sababu kuu ni WARAKA alioutoa Marehemu Mtikila kuhusiana na namna hawa jamaa ( walipewa jina la wahamiaji harámu) walivyojipenyeza na kuanza kushika na kupora rasilimali za wananchi hasa maeneo ya mipakani na wakajipenyeza kwenye baadhi ya vyeo nchini mwetu kinyemela wakiwa na mission yao ya siri
Waraka ule wa Mtikila ulitoka kipindi ambapo utawala wa Jakaya ulikuwa ktk Vita baridi na Paulo, na inasemekana ule waraka uliandaliwa na 'kitengo' kisha Mtikila akatumika kama carrier ili Ujumbe uende kwenye hadhira ( na aliusambaza kwenye media zote) na kisha Serikali ije ireact kwa kuchukua hatua kali dhidi ya 'hao jamaa'.
Na kweli ikawa hvyo WARAKA ulipotoka, Serikali ikareact kwa kuanzisha operation nchi nzima iliyopewa jina la 'kuondoa wahamiaji harámu' lakini ndani yake walengwa wa ile operation walikuwa hao jamaa.
Kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa operation ile ilikuwa chini ya Simon Sirro ( kwa sasa IGP)
Paulo wa Rwanda na timu yake wakawa wamepigwa kweli kweli ktk kila maeneo walipojipenyeza na kugundulika.
Hapo ndipo Mtikila akawa ameingia kwenye 18 za Paulo