Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Kifo cha mch Mtikila ni kifo tata kweli kweli

Kinahusianishwa moja kwa moja na mkuu wa Watutsi na sababu kuu ni WARAKA alioutoa Marehemu Mtikila kuhusiana na namna hawa jamaa ( walipewa jina la wahamiaji harámu) walivyojipenyeza na kuanza kushika na kupora rasilimali za wananchi hasa maeneo ya mipakani na wakajipenyeza kwenye baadhi ya vyeo nchini mwetu kinyemela wakiwa na mission yao ya siri

Waraka ule wa Mtikila ulitoka kipindi ambapo utawala wa Jakaya ulikuwa ktk Vita baridi na Paulo, na inasemekana ule waraka uliandaliwa na 'kitengo' kisha Mtikila akatumika kama carrier ili Ujumbe uende kwenye hadhira ( na aliusambaza kwenye media zote) na kisha Serikali ije ireact kwa kuchukua hatua kali dhidi ya 'hao jamaa'.

Na kweli ikawa hvyo WARAKA ulipotoka, Serikali ikareact kwa kuanzisha operation nchi nzima iliyopewa jina la 'kuondoa wahamiaji harámu' lakini ndani yake walengwa wa ile operation walikuwa hao jamaa.
Kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa operation ile ilikuwa chini ya Simon Sirro ( kwa sasa IGP)

Paulo wa Rwanda na timu yake wakawa wamepigwa kweli kweli ktk kila maeneo walipojipenyeza na kugundulika.

Hapo ndipo Mtikila akawa ameingia kwenye 18 za Paulo
Hii dunia!!!
 
Wanaingia kidogo kidogo,wameanzia chini,mimi namjua jamaa mmoja huko fb zamani profile lake ilikua inasoma from gisenyi,akajichanganya maccm huko alipoanza kupata mwelekeo akabadili profile sasa hivi ni diwani kanda ya ziwa huko,na kipindi cha bunge uwa sana dom,bahima plan yao ni vizazi na vizazi mazee
Ni Diwani Kata gani mkuu
 
Aisee! Kwa wakati ule nilifikiri huenda EL alihusika sababu ilikua ni kpnd cha uchaguzi na alikua na mikwaruzano na jamaa.
 
kabla ya kifo chake nilitamani sana kumuona live..sijui nina mkosi gani kila mtu ambae ananiinspire nikiweka nia tu ya kukutana nae...miaka kadhaa mbele lazima adanje...niliweka nia ya kukutana na mwenda zake nae vile vile akaenda nadhani nitakutana nao huko walipo
Vipi Kwan hutaki kuonana na Sirro umuone ata alivyo ni mzuri huyo weeeee.
 
Wanaingia kidogo kidogo,wameanzia chini,mimi namjua jamaa mmoja huko fb zamani profile lake ilikua inasoma from gisenyi,akajichanganya maccm huko alipoanza kupata mwelekeo akabadili profile sasa hivi ni diwani kanda ya ziwa huko,na kipindi cha bunge uwa sana dom,bahima plan yao ni vizazi na vizazi mazee
kanda ya ziwa ndio home base yao. wamejiimarisha sana ukanda ule. nawasikitikia sana ndugu zangu wasukuma. upendo na ukarimu wao kwa wahamiaji haramu unaenda kuiponza nchi.
 
Kuna tetesi na tuhuma ambazo hazijawahi kusemwa waziwazi kwamba Bahima Empire kupitia Mr Slim ndio walihusika na mpango mzima wa kumnyamazisha milele ... Pengine mwendelezo wa hii mada utatupa majibu
Ina maana mr slim ana uwezo wa kuingia nchi nyingine na kufanya yake asijulikane? Basi anaweza kuingilia chaguzi na kumuweka amtakaye awe rais kama anaweza kuingia kwenye nchi ya watu wengine
 
Back
Top Bottom