Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.

Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.

Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.

Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.

Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...

Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

INAENDELEA
Wale waliomchagulia gari (tax)ya kupanda baada ya kuingia ile aliochagua yeye na wakamwambia asipande hiyo akaelekezwa ile inayofuata (ambayo ilikuwa ishaandaliwa)ndio wahusika wakuu.
Naomba niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu, Dunia unayoishi inatisha kuliko unavyofikiri,ukilala na kuamka salama, usidhani usalama upo,kwa hiyo unaamini pia hata Princess Diana alikufa kwa ajali tu ya gari bahati mbaya?
Fungua jicho la tatu ujue undani wa Dunia, vinginevyo utabakia kipofu hivyo hivyo.
 
Mtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Alikufa kwa ajali, ni sawa kwa akili zako ndogo ila aliuwawa kabla ya gari kupewa ajali, hii dunia sivyo unavoijua wewe, ungepewa macho ya kuona kinachofanywa ( manipulation) ungekodoa macho kama mjusi aliyebana kwenye mlango
 
Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.

Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.

Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.

Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.

Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...

Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

INAENDELEA

kifo cha mtikila ni mkono wa PK namchukia sana huyu jamaa
 
Nakumbuka huyu mama kuna kipindi alikuwa anakuja dukani kwangu.

Akikupa pesa kisha kwenye chenji ukamuwekea noti ya 1000 yenye picha ya nyerere anaikataa.

Kama mtakumbuka kipindi hicho kulikuwa na elfu moja mbili tofauti
Wapekeye umeanza
 
Kifo cha mch Mtikila ni kifo tata kweli kweli

Kinahusianishwa moja kwa moja na mkuu wa Watutsi na sababu kuu ni WARAKA alioutoa Marehemu Mtikila kuhusiana na namna hawa jamaa ( walipewa jina la wahamiaji harámu) walivyojipenyeza na kuanza kushika na kupora rasilimali za wananchi hasa maeneo ya mipakani na wakajipenyeza kwenye baadhi ya vyeo nchini mwetu kinyemela wakiwa na mission yao ya siri

Waraka ule wa Mtikila ulitoka kipindi ambapo utawala wa Jakaya ulikuwa ktk Vita baridi na Paulo, na inasemekana ule waraka uliandaliwa na 'kitengo' kisha Mtikila akatumika kama carrier ili Ujumbe uende kwenye hadhira ( na aliusambaza kwenye media zote) na kisha Serikali ije ireact kwa kuchukua hatua kali dhidi ya 'hao jamaa'.

Na kweli ikawa hvyo WARAKA ulipotoka, Serikali ikareact kwa kuanzisha operation nchi nzima iliyopewa jina la 'kuondoa wahamiaji harámu' lakini ndani yake walengwa wa ile operation walikuwa hao jamaa.
Kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa operation ile ilikuwa chini ya Simon Sirro ( kwa sasa IGP)

Paulo wa Rwanda na timu yake wakawa wamepigwa kweli kweli ktk kila maeneo walipojipenyeza na kugundulika.

Hapo ndipo Mtikila akawa ameingia kwenye 18 za Paulo
 
Back
Top Bottom