witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,099
Na mimi unistueusisahau kunitag tafadhali
Na mimi unistueusisahau kunitag tafadhali
Guess rightKwenye siasa ni asilimia 1 tu wanaokufa vifo vya kawaida.waliobaki 99% huuwa.
Kiasi chake tu WitnessjDaah we jamaa unajua hadi basi
Who is Mr Slim?Kuna tetesi na tuhuma ambazo hazijawahi kusemwa waziwazi kwamba Bahima Empire kupitia Mr Slim ndio walihusika na mpango mzima wa kumnyamazisha milele ... Pengine mwendelezo wa hii mada utatupa majibu
😃😃mkuu mbona tunategana PK ni Mr Slim
Kwenye siasa ni asilimia 1 tu wanaokufa vifo vya kawaida.waliobaki 99% huuwa.
Rais Magufuli, Engineer Kijazih, Engineer Mfugaleeeh Utatu mtakatifu.Naona imeisha hio.Naanza kupata picha jason Paramandio marinda was assassinated asee
Mtikila ameanza bifu na PK long time Sana.Maana hata wale wafuasi wa fdlr walianza kwenda nyumbani kwa mtikila 2000's huko.Naaangalia kumbukumbu hapa zinaonyesha Prof. Mwaikusa aliuawa mwaka 2010. Na waraka wa Mch. Mtikila ulitoka mwaka 2013. Beef la Mtikila na PK lilitokana na huo waraka tu au by 2010 tayari walikuwa na beef jingine?
Kuna mtu aliwai kupata ajari badala wale alio kuwa nao kumsaidia wakaamua kumaliza,so sometimes there is missionMtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Siasa, alidai akiwa Rais magabachori (wahindi) atawatimua na Mali zao kupewa wazawa.Mtikila alikua akiwaita wahindi Magabachori,kipindi hicho lilitokea vuguvugu kubwa kati ya wazawa na wahindi! Sikumbuki sababu kuu ilikua ni nini hasa.
Acha urongo, Imrani Kombe aliponzwa na Lyatonga Mrema na akauwawa na Polisi wa Tanzania.Tolu amehusika na vifo kadhaa ndani ya ardhi ya Tanzania, wachache ni kamaLuteni Jenerali Imran Kombe, Mtikila na hata Prof. Mwaikusa
Paul Kagame.Who is Mr Slim?
Mrema alimponzaje mkuuAcha urongo, Imrani Kombe aliponzwa na Lyatonga Mrema na akauwawa na Polisi wa Tanzania.
Alikua anavujisha Siri za serikali kwa Mrema(NCCR).Mrema alimponzaje mkuu
Kweli mzee maana brother anatoto la kinyarwanda na mm nina demu wa kinyarwanda tumeishaWamejaa pale TANAPA