Nyuma ya pazia ya mchungaji Peter Dadi Onesmo

safari ni safari

New Member
Nov 26, 2022
2
11
Kuna tukio la kutaka kufanya mauwaji linamhusu mchungaji peter dadi onesmo

Chanzo cha yote ni mchungaji msaidizi ambaye moja kati ya jina lake nimesikia anaitwa israel
Mchungaji huyu msaidizi anaishi ktk nyumba moja kubwa ambayo anaishi yeye na wadogo zake 2 wa mchungaji peter onesmo

Mchungaji msaidizi israel ktk kufanya kazi kwa ukaribu na mchungaji peter onesmo aligundua kuwa nyuma ya pazia mchungaji peter onesmo ana genge kubwa la majambazi ambao hujihusisha na vitendo vingi vya kiuharifu apa tanzania

Baada ya mchungaji israel kujua kuhusu hayo mambo aliamua kujitenga na kanisa na alianza mchakato wa kutafuta kanisa lengine ili aendelee na huduma za kiroho

Mchakato huo haukumfurahisha mchungaji peter kwani alijua moja kwa moja siri zake za mambo machafu zitavuja

Mchungaji peter alimua kumuwekea wapelelezi wa kufatilia nyendo zote za mchungaji israel na alifahamu kuwa msaidizi wake ameshapata kanisa lengine na siku ya ijumaa tarehe 19 january mchungaji israel ilikuwa ahame ktk makazi ya mchungaji peter

Usiku huo wa ijumaa wazee wa kazi walitumwa kwenda kumuua mchungaji israel yeye pamoja na mke wake mwenye jina la Aneth.

Wazee wa kazi kutoka geita waliingia ndani ya nyumba usiku na kwenda moja kwa moja chumbani kwa mchungajo israel walivunja mlango na kisha wakaanza kumshambulia kwa mapanga uku wakiwa wamezima umeme ktk nyumba nzima waliwashambulia kwa kuwakata sehemu mbali mbali na baadae waliamua kuondoka wakiamini wameshawaua.

Waliamua kubeba vitu vyote vya ndani ila gari walilolitumia majirani walilibaini ni gari la mchungaji peter

Dada wa kazi wa mchungaji israel alikuwa chumba chengine aliposikia purukushani alimua kutoka nje ili aone kuna nini.ndipo akakuta wazee wa kazi ndio wanamalizia kusomba vitu.walipomuona wakamkamata wakambaka kwa zamu

Asubuhi ya jumamosi ndio kinafiki wadogo zake mchungaji peter ambao wanaishi ktk nyumba moja na mchungaji israel wakaamua kuwapeleka hospitali bila kupitia polisi waliogopa maswali ya polisi.

Kule hospitali walikataliwa kupewa huduma ikabidi waende polisi kwanza ili wapewe PF kufika polisi maelezo yao yakawa na utata mwingi,wakakamatwa wakawekwa ndani

Hali ya mchungaji israel na mke wake sio nzuri bado wanaendelea na matibabu na mahojioni zaidi Kanisa la mchungaji peter onesmo lipo mwanza ilemela buswelu bondeni.kesi hii ya shambulizi la kutaka kuua ipo ktk kituo cha polisi kirumba na kituo cha polisi buswelu sina uhakika wa usalama wa maisha ya familia ya mchungaji israel.

Pia sina uhakika kama kesi hii itaenda mahakamani kutoka na mtandao mpana alionao mchungaji peter yatakuwa yale ya pauline gekul kesi iliyeyuka
 
Siungi mkono uhalifu ila nikikumbuka katika umbumbumbu wangu katika biblia na vitabu vingine vya dini. Kwa wakristo nyakati za kanisa la kwanza kulikuwa na madhila na manyanyaso makubwa sana kiasi cha wengine kuuliwa hadharani na udhalilishaji mkubwa lakini kanisa lilifunga na kuomba kwa bidii pasipo kuchoka ndo ukristo huu tunaoushuhudia leo hii. Mungu yupo na ana nguvu na kamwe hakuna wa kumtetea wala kumpigania, anajitosheleza na hashindwi kitu. Poleni sana kwa changamoto hiyo wahanga akiwemo mtumishi Israel na mke wake.
 
Sasa kama huyo Pastor aliyeshambuliwa alishajua boss wake anajihusha na uharifu kwanini hakwenda kuripoti polisi mapema, kwanini asubiri ashambuliwe ndio aende?

Kwanini tusiamini naye alikuwa mshirika wa uharifu?
 
Kuna tukio la kutaka kufanya mauwaji linamhusu mchungaji peter dadi onesmo

Chanzo cha yote ni mchungaji msaidizi ambaye moja kati ya jina lake nimesikia anaitwa israel
Mchungaji huyu msaidizi anaishi ktk nyumba moja kubwa ambayo anaishi yeye na wadogo zake 2 wa mchungaji peter onesmo

Mchungaji msaidizi israel ktk kufanya kazi kwa ukaribu na mchungaji peter onesmo aligundua kuwa nyuma ya pazia mchungaji peter onesmo ana genge kubwa la majambazi ambao hujihusisha na vitendo vingi vya kiuharifu apa tanzania

Baada ya mchungaji israel kujua kuhusu hayo mambo aliamua kujitenga na kanisa na alianza mchakato wa kutafuta kanisa lengine ili aendelee na huduma za kiroho

Mchakato huo haukumfurahisha mchungaji peter kwani alijua moja kwa moja siri zake za mambo machafu zitavuja

Mchungaji peter alimua kumuwekea wapelelezi wa kufatilia nyendo zote za mchungaji israel na alifahamu kuwa msaidizi wake ameshapata kanisa lengine na siku ya ijumaa tarehe 19 january mchungaji israel ilikuwa ahame ktk makazi ya mchungaji peter

Usiku huo wa ijumaa wazee wa kazi walitumwa kwenda kumuua mchungaji israel yeye pamoja na mke wake mwenye jina la Aneth
Wazee wa kazi kutoka geita waliingia ndani ya nyumba usiku na kwenda moja kwa moja chumbani kwa mchungajo israel walivunja mlango na kisha wakaanza kumshambulia kwa mapanga uku wakiwa wamezima umeme ktk nyumba nzima waliwashambulia kwa kuwakata sehemu mbali mbali na baadae waliamua kuondoka wakiamini wameshawaua
Waliamua kubeba vitu vyote vya ndani ila gari walilolitumia majirani walilibaini ni gari la mchungaji peter

Dada wa kazi wa mchungaji israel alikuwa chumba chengine aliposikia purukushani alimua kutoka nje ili aone kuna nini.ndipo akakuta wazee wa kazi ndio wanamalizia kusomba vitu.walipomuona wakamkamata wakambaka kwa zamu

Asubuhi ya jumamosi ndio kinafiki wadogo zake mchungaji peter ambao wanaishi ktk nyumba moja na mchungaji israel wakaamua kuwapeleka hospitali bila kupitia polisi waliogopa maswali ya polisi
Kule hospitali walikataliwa kupewa huduma ikabidi waende polisi kwanza ili wapewe PF kufika polisi maelezo yao yakawa na utata mwingi,wakakamatwa wakawekwa ndani

Hali ya mchungaji israel na mke wake sio nzuri bado wanaendelea na matibabu na mahojioni zaidi
Kanisa la mchungaji peter onesmo lipo mwanza ilemela buswelu bondeni.kesi hii ya shambulizi la kutaka kuua ipo ktk kituo cha polisi kirumba na kituo cha polisi buswelu
Sina uhakika wa usalama wa maisha ya familia ya mchungaji israel

Pia sina uhakika kama kesi hii itaenda mahakamani kutoka na mtandao mpana alionao mchungaji peter yatakuwa yale ya pauline gekul kesi iliyeyuka
Mchungaji anamiliki majambazi?
Bado polisi wapo bize na maandamano huku washirika wao wakifanya uhalifu kwa kujinafasi
 
umeandika kama vile mipango umepanga na mchungaji peter
 
Una ushahidi gani kwa haya uliyo yaandika as if ulikuwa Ni mmoja kat ya wallifu wa tukio Hilo

Nyinyi wachungaji feki mnashindwa kuwagundua
 
Back
Top Bottom