Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.

Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.

Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.

Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.

Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...

Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

INAENDELEA
Mtikila alikuwa na maadui wengi ndani na nje ya nchi. Hivyo, kuna uwezekano akauawa na mmoja wao au kwa ushirikiano. Kwanza alikuwa adui mkubwa wahindi akipinga ubaguzi na unyonyaji wao. Nadhani waliomuua Dr Jwani Mwaikusa aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda wanaweza kuwa washukiwa namba moja ukiachia mbali akina Kikwete.
 
For sure,

Kuna la Prof Jwani Mwaikusa nae aliyeuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani hapa Dar,, hapa napo Paulo anahusika

Sijui niilete part B ya namna Marehemu Mtikila alivyoshughulikiwa,,, kuanzia kukutana na foreigner aliyekuja kwa mission ya dini mpaka umauti ukamfika
tyc mkuu!
Mwaga mwaga mtama kuku wadonoe.
 
For sure,

Kuna la Prof Jwani Mwaikusa nae aliyeuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani hapa Dar,, hapa napo Paulo anahusika

Sijui niilete part B ya namna Marehemu Mtikila alivyoshughulikiwa,,, kuanzia kukutana na foreigner aliyekuja kwa mission ya dini mpaka umauti ukamfika
Mwaga nondo mkuu
 
Back
Top Bottom