Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Naaangalia kumbukumbu hapa zinaonyesha Prof. Mwaikusa aliuawa mwaka 2010. Na waraka wa Mch. Mtikila ulitoka mwaka 2013. Beef la Mtikila na PK lilitokana na huo waraka tu au by 2010 tayari walikuwa na beef jingine?
Mtikila ameanza bifu na PK long time Sana.Maana hata wale wafuasi wa fdlr walianza kwenda nyumbani kwa mtikila 2000's huko.

BTW waraka mwenyewe alitumika tu Mtikila kuuwasilisha kwa public lkn waliokua nyuma yake ndio hao baada ya kuuwasilisha tu walikuja kupiga OP kimbunga.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom