Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ila kwa Beyonce naamini asee..she sold her soul to them!

Sio kwa kupapatikiwa huku na walimwengu!....hata mi kajamba nani nampenda!
Hakuna kitu kama hicho.
Amini Duniani kwa binadamu kuzididiana kupo.Watawala wapu tu.Wenye bahati wapo tu.Mfano simba anatawala msituni.
Na pia mfano wa Beyonce kaanza kuwika kwa Jitihada zake binafsi Na kuamini kipaji alichonacho.Just Imagine alianza kuimba akiwa Na miaka 4 ..Nyumbani kwao enzi hizo akawa Na binamu zake akina Kelly wanaweka jukwaa Na watu wanakusanyika kuwaona.Alivyo leo ni jitihada binafsi ukichanganya akaoana Na MTU maarufu Jay-Z ambaye naye amekulia umaskini.But Vipaji vyao wakaamua kukomaa navyo.
WaTz tupunguze kuona kila aliyefanikiwa ni Illuminat kama ni simple hivyo nendeni Posta wapo mkajiunge nao tuwaone Na ninyi mkibadilika.
 
Sijui mtaacha lini uongo.
Mfano Michael J ni maskin cancer.Kanumba alitelezaa......acheni hizo mambo
 
Hakuna kitu kama hicho. Miscarriage ni kawaida tu .Inategemeana.Asingezaa mngesemaa aisee Badunguuu
 
Hahahaha duh mkuu mbona una macho hivi?? Ataenda kulifanyia kazi hilo
 
Hata yeyey kwa mtililiko wa mahusiano yake, it means alikuwa Jasusi pia
 
Aisee...nilishasikia hii kitu

Lakini bora church tunafundishwa Upendo na kumcha Mungu!...especially Catholic ni Kanisa lisilokuwa na complications kabisa!
ni kweli hizi dini zina mafundisho mazuri tu ambayo yana make sense kwa mtu mwenye sound mind,
lakini nyuma ya pazia watu wanafanya yao kupitia kivuli cha dini,
kuna watu wanaamini wapo duniani kutawala watu wengine na kila kilichomo,dini zina siri nyingi sana na hivi vitabu vya dini vina contradictions nyingi tatizo huu uzi ni public wafia dini hawataki kuona dini zao zinakosolewa,vatican ina siri nyingi sana,jaribu kusoma about 'the black pope'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…