Mkuu hauna kapicha kengine utupieNi majaribu mitihani na changamoto za kazi
Sharti moja lililowashinda waganga wengi wa kienyeji ni utamanifu na kushindwa kuidhibiti tamaa hata kumtongoza mteja....akithubutu kufanya hivyo anajimaliza mwenyewe
Hapa nazungumzia wale ambao ni waganga kweli sio hawa matapeli wanaojifanya kuweka dawa sehemu za siri kwa kutumia vibamia vyao
Yule ni mteja ni mhitaji ana matatizo na anahitaji ufumbuzi toka kwako kwahiyo yuko tayari kutii utakachomwambia
Hupaswi kutumia matatizo yake kujinoma! Unanajisi taaluma...wengi wameingia kwenye huu mtego na kupoteza uwezo wa kutibu kabisa! Baada ya hapo hubaki kuwa tapeli tu
Masharti mengine
Hawapaswi kumiliki mali wala vitu vya thamani
Maisha yao hayapaswi kuwa ya gharama bali ni yale ya chini kabisa kuanzia makazi mpaka mavazi na samani
*Waganga wengi og huogopa mno kuhudumia mashoga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka sehemu ya wazi au iliyojificha jificha!???[emoji23] [emoji23] [emoji23] niambie lini na wapi tajibeba mzimamzima
Hahaha Haya mkuu ngoja niendelee na vipicha hivi vichache[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutapoteza muktadha wa mada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni jazwa ujazeKuna masiter do walikuwa wanakwenda kwa waganga kuwaweka sawa ma-brother men wa town hasa wale wenye senti ndefu.
Kijana kustuka mmoja ni mke wa mganga sasa anaponda dawa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mbn unaona aibu hahaa sema usije ukavunjaa miiko ya kazi yko ukawa tapeliPopote utakaponiona vema[emoji85] [emoji85]
lee empire njoo jibu limeshapatikanaKuna uganga wa aina tatu
1. Wa kurithi/kurithishwa
2. Kupewa na majini/kuoteshwa
3.kusomea
Kote huko unapewa masharti kama hayo, kuna mahali yanaweza kutofautiana lakini ya msingi hayabadiliki
Ulivyomalizia hapo mwisho,ningependa kujua ni kwann.Sharti moja lililowashinda waganga wengi wa kienyeji ni utamanifu na kushindwa kuidhibiti tamaa hata kumtongoza mteja....akithubutu kufanya hivyo anajimaliza mwenyewe
Hapa nazungumzia wale ambao ni waganga kweli sio hawa matapeli wanaojifanya kuweka dawa sehemu za siri kwa kutumia vibamia vyao
Yule ni mteja ni mhitaji ana matatizo na anahitaji ufumbuzi toka kwako kwahiyo yuko tayari kutii utakachomwambia
Hupaswi kutumia matatizo yake kujinoma! Unanajisi taaluma...wengi wameingia kwenye huu mtego na kupoteza uwezo wa kutibu kabisa! Baada ya hapo hubaki kuwa tapeli tu
Masharti mengine
Hawapaswi kumiliki mali wala vitu vya thamani
Maisha yao hayapaswi kuwa ya gharama bali ni yale ya chini kabisa kuanzia makazi mpaka mavazi na samani
*Waganga wengi og huogopa mno kuhudumia mashoga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haka ka emoji kanamaanisha nn!!??[emoji39]Nitajitahidi loh [emoji2] [emoji39]