Mungu wa manyani ndo wetu na sisi mkuu. Hawana miungu mengine. Utaalam wao hua ni either kujifunza kwa kuangalia mganga anafanya nini na anatumia miti gani kwa matatizo tofauti. Pia kupewa tu uwezo huo na mizimu Ila mungu anabaki mmoja.[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivi mfano akipitiwa na kummendea kidosho mkali kama huyu hawana namna ya kuungama aka kusamehewa kwa miungu yao ??
Maendeleo wanayo sana mkuu. Kwa kua tafsiri ya maendeleo haifanani. Kwa mfano unaweza usione Mali. Ila Utaalam ukawa umeongezeka sana. Na zaidi wao hutakiwa kufanya kazi ili kusaidia watu na sio kujinufaisha wao.Ndio maana waganga wengi hawana maendeleo ya maana
Kwanini??Aisee hii kazi ningeshindwa mapema sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mshana bhanaa sijui unafananaje kwa kweli natamani nikuone daaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] au huyuView attachment 531796[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji39] [emoji39]
Unamwambia lala hivi nikuweke dawa usifumbue macho dawa haitafanya kazi
Kwanini??
Du! Hawa waganga hawafai kwa kachumbari wala kwa kalumagia[emoji23] [emoji23] [emoji23] au huyuView attachment 531796[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji39] [emoji39]
Unamwambia lala hivi nikuweke dawa usifumbue macho dawa haitafanya kazi
Mganga wa kweli hatozi zaidi ya mwekundu na hiyo pesa ni mhuri na utambulisho kuwa umekubali kuingia ulimwengu wa giza ni sawa na kulipa kiingilio...kisha huitumia kwa matumizi yake ya kawaida ni sawa na ile damu ya kuku baada ya pale nyama inaliwa na yeyoteduh pesa anazopewa anafanyia nini?
duh kazi wanayo kazi ngumu sanaMganga wa kweli hatozi zaidi ya mwekundu na hiyo pesa ni mhuri na utambulisho kuwa umekubali kuingia ulimwengu wa giza ni sawa na kulipa kiingilio...kisha huitumia kwa matumizi yake ya kawaida ni sawa na ile damu ya kuku baada ya pale nyama inaliwa na yeyote
Umesahau hii ya . . ,Nimeingia kwenye KAZI ya uganga kwa sababu mbili 1. Kujinoma papuchiz maana wateja wengi ni wanawake. 2. Kukusanya nauli.
Mmmh ungo siyo we we!!! Kwa picha haitoshi nataka live[emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeweka picha yangu mbona kwenye ule uzi wa interview?