Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Mshana kuna hawa waganga wanaokuja kwa mwamvuli wa dini yalimikuta katika mitihani ya maisha shost aliniambia baba yake mdogo ni mchungaji na anakipaji cha kuombea watu. Nilipokutana nae alinipa mustard ya zaburi nilichogundua anatumia agano la kale tu
Hawa ndio wamefurika kila kona wanafanya kolabo ya dini na mambo ya giza
 
Hawa ndio wamefurika kila kona wanafanya kolabo ya dini na mambo ya giza
Nilinunua tulipoanza na zaburi lakini nishtuka tulipoanza na mishumaa ikaja ananiambia ninunue mafuta ya upako kutoka kwake nikiwa bado najitafakari mtongozo ukaanguka ndipo nilipomblock
 
Mkuu just imagine mtoto mkali alie jaaliwa neema za allah anaenda kwa mganga, lazima mganga avunje masharti
Unamwambia tu kuna dawa ya kuweka ndani kabisa kupitia ukeni, ili usiumie kwa kutumia mkono basi utapewa natoa msaada itaingizwa kiulaini na uume.
 
Unamwambia tu kuna dawa ya kuweka ndani kabisa kupitia ukeni, ili usiumie kwa kutumia mkono basi utapewa natoa msaada itaingizwa kiulaini na uume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na hata hao wanaokubali kugongwa na mganga wanakuwa wamependa tu maana haingii akilini kabisa eti mtu akurubuni kisa dawa
 
Wahanga na kugegedwa hapo no akina dada wasioshika mimba, yaani anaamini dudu la mganga ndo itafungua uzazi kumbe alishatoa toa mimba mpaka kizazi kimegukia kushoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom