Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Hao ni nani anawapangia hayo masharti!? Na wanajuaje tayari wamekuwa wa kweli nakufata hayo matakwa!? Nani anawaondilea hiyo nguvu!?
Kuna uganga wa aina tatu
1. Wa kurithi/kurithishwa
2. Kupewa na majini/kuoteshwa
3.kusomea
Kote huko unapewa masharti kama hayo, kuna mahali yanaweza kutofautiana lakini ya msingi hayabadiliki
 
Kuna uganga wa aina tatu
1. Wa kurithi/kurithishwa
2. Kupewa na majini/kuoteshwa
3.kusomea
Kote huko unapewa masharti kama hayo, kuna mahali yanaweza kutofautiana lakini ya msingi hayabadiliki
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hao wa kurithiana ni kweli wanakuwa nondo kama waliowapa mikoba au ??
 
Adhabu zipo na mojawapo ni kushindwa kutibu hasa mteja anayefuatia
Basi kumbe aina shida as long adhabu ina affect mteja sio mganga ...

Si unamaanisha amekuja mrembo ukamkwida kwa kupitiwa ...atakayefuata inakuwa kazi bure , ila baada ya hapo si kazi kama kawaida ??
 
Ukianza huachi inahitaji roho ngumu mno na in most cases wateja ni wanawake
Hivo hivo hivo utafanyajee , mfano kwa mwezi ukipitiwa mara moja au mbili sio mbaya

Mkuu inakuwaje mfano mtu alikuwa mganga akashindwa masharti na kuamua kuacha hizo mambo ?? In terms of impacts both positive na negative
 
Basi kumbe aina shida as long adhabu ina affect mteja sio mganga ...

Si unamaanisha amekuja mrembo ukamkwida kwa kupitiwa ...atakayefuata inakuwa kazi bure , ila baada ya hapo si kazi kama kawaida ??
Hahahaa hakuna kitu kibaya kwenye uganga kama kushindwa kazi
 
Hivo hivo hivo utafanyajee , mfano kwa mwezi ukipitiwa mara moja au mbili sio mbaya

Mkuu inakuwaje mfano mtu alikuwa mganga akashindwa masharti na kuamua kuacha hizo mambo ?? In terms of impacts both positive na negative
Ni ngumu kuacha labda uokoke! Wengi hawaachi wanashindwa masharti na vigezo na baada ya hapo wanabaki kuwa matapeli na kuishia kupigwa kufungwa ama kuuawa...hawanaga mwisho mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom