Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Ni mwiko mganga kumtongoza mteja

Ni ngumu kuacha labda uokoke! Wengi hawaachi wanashindwa masharti na vigezo na baada ya hapo wanabaki kuwa matapeli na kuishia kupigwa kufungwa ama kuuawa...hawanaga mwisho mwema
Asantee mkuu mshana jr
 
Oohhooo mshana umenifanya niamshe dude...... huku niliko sasa...... hakuna mganga kabisa sijui napata wapi matibabu...... horohoro yaani.....
Yani Kasie nikiona tu reply yako najiandaa kucheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom