Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Madam B pole sana ndugu yangu nilipoteza baba yangu pia mwaka jana September 15 . Ni maisha mapya kuishi bila baba hata hivyo Mungu awatie nguvu na zaidi sana tunalo tumaini kwani wafu watafufuliwa siku ya mwisho. Raha ya milele umpe eee Bwana apumzike kwa amani , raha ya milele uwape ee Bwana wapumzike kwa amani Amina.R.I.P daddy.
Last edited by a moderator: