Ni mwaka sasa bila Baba yetu mpenzi! (special for Madame B)

Ni mwaka sasa bila Baba yetu mpenzi! (special for Madame B)

Wakuu Himidini na Madame B poleni sana kwa kuondokewa na wapendwa wema. Tujitahidi waishi pamoja nasi kwa kutimiza ndoto walizokuwanazo juu yetu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Himidini na Madame B poleni sana kwa kuondokewa na wapendwa wema. Tujitahidi waishi pamoja nasi kwa kutimiza ndoto walizokuwanazo juu yetu.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imeharibu kabisa siku yangu ya leo

Kwa sababu imenifanya nimkumbuke binadamu niliyekuwa namkubali kuliko wote hapa duniani
Baba yangu..pumzika kwa amani!

Poleni sana
Kuondokewa na baba ni pengo kubwa
Pole sana Madame B !
 
Last edited by a moderator:
Madame B and Kijino poleni kwa huzuni mliyonayo, Mungu mwenye nguvu na awape faraja na amani. Apumzuke kwa amani mpendwa wetu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Himidini na Madame B poleni sana kwa kuondokewa na wapendwa wema. Tujitahidi waishi pamoja nasi kwa kutimiza ndoto walizokuwanazo juu yetu.

Asante sana mpendwa king kan, ni mimi na dada Kijino, si Himidini.
Twamshukuru Mungu kwa maana anatuongoza njia nzuri na yenye kumtumaini yeye.
Yamepita na kila kitu chake.
Twakushukuru sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imeharibu kabisa siku yangu ya leo

Kwa sababu imenifanya nimkumbuke binadamu niliyekuwa namkubali kuliko wote hapa duniani
Baba yangu..pumzika kwa amani!

Poleni sana
Kuondokewa na baba ni pengo kubwa
Pole sana Madame B !

Asante sana kaka Eiyer.
Ila kuukubali ukweli ni jambo zuri sana.
Pole sana kwa kuondokewa na mpendwa wako mkuu, sote kwake tutarejea.
Muhimu ni kuyaendeleza yale mema waliyotuachia.
Pole sana, pia tuzidi kuwaombea.
Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Madame B and Kijino poleni kwa huzuni mliyonayo, Mungu mwenye nguvu na awape faraja na amani. Apumzuke kwa amani mpendwa wetu.

Amina.
Asante sana mkuu Mapi.
Kifo cha kuondokewa na mpendwa, kinauma sana.
Ila hakuna njia ya kumrudisha.
Mungu ana makusudi yake.
Tuyaenzi yale mazuri aliyotuachia, ili naye afurahi huko aliko.
Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Madame B & Kijino Mwenyenzi MUNGU mwingi rehema na awape nguvu na Baba yetu apate pumziko la milele shambani mwake Bwana wetu!
 
Last edited by a moderator:
mungu awatie nguvu jamani. tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
 
mungu awatie nguvu jamani. tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.

Asante kipenzi Iron Lady.
Hakika Mungu yu Mwema kwetu, kwani alitusimamia katika kipindi kile kigumu.
Asante sana.
Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wafiwa Maddame B na mwenzio, kumbukeni kuwa kila nafsi itarejea kwake Muumba, La muhimu tusisahau kuwaomea dua, maana ndiyo chakula chao kikuu huko waliko na kuwafanya wawe na amabi huko waliko, Msisahau kuyaenzi yale aliyowaachia kama kushika dini na kuwa na Tabia inayompendeza Muumba.MWENYEZI MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI,
AWASAMEHE MAKOSA YAO,
AWAPUNGUZIE ADHABU YA KABURI,
AWAANGAZIE MAKABURI YAO,
AWATANULIE MAKABURI YAO, NA ASIWASAHAU KUWAFUFUA KUTOKA KATIKA WAFU ILE SIKU YA MWISHO. AMINI.
 
Asante sana dada kipenzi Lisa kwa faraja zako kwetu.
Hakika Mungu hakututupa na anaendelea kutusimamia mpaka dk hii.
Nashukuru pia kwani tunayaenzi yale yote mema aliyotuachia.
Tuna imani iko siku tutakuja kuonana na wapendwa wazazi wetu.
Asante sana Lisa.
Tuko pamoja kwenye maombi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom