Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
ok.. Usihofu we are together
Asante mpendwa, tuko pamoja.
ok.. Usihofu we are together
Poleni sana Kijino na Madame B pamoja na wale wadogo zenu wawili warembo sana sana...
Mwenye enzi Mungu mwingi wa rehema na mwingi wa ukarimu atawatia nguvu, ili mzidi kusonga mbele na maisha.
Naamini Baba aliwajengeeni msingi bora wa maisha, hivyo ni vyema kusimama imara na kuthibitisha kwamba mbegu aliyopanda na kuicha hapa duniani ni mbegu bora.
This is all I can tell you " When all is gone and think you are left alone, You still have God, that is enough to start again"
"When a lifetime of living is gone in a single day
And the ocean of misfortune has washed your dreams away
And on the shore of memory, empty handed you stand
When you've got nothing left but God, you've got enough to start again
When those you've loved your lifetime suddenly go another way
You're left to face the midnight's, when you hurt to much to pray
And when your reputation has been stained and your mind won't understand
When you've got nothing left but God, you've got enough to start again
When you've got nothing left but God, nothing left but God
You've still got enough to start again
And no matter what men have taken out of your hands
When you've got nothing left but God, You've got enough to start again
When you've got nothing left but God, nothing left but God
You've still got enough to start again
And no matter what men have taken out of your hands
When you've got nothing left but God, when you've got nothing left but God
When you've got nothing left but God, you've still got enough to start again
You can start again
You can start again
Pole sana Madame B na mwenzako
Mungu ashukuriwe kwa kila jambo.Poleni wapendwa
Pole sana dada ni mapenzi ya Mungu hayo yote kutokea.Ashujuliwe yeye pia kwa kukusimamisha imara hadi sasa nawe endelea kuish katika mafunzo na malezi uliyokulia kimwil hatupo nao ila hekima,busara na mafunzo yanaishi siku zote
Wapumzike kwa amani
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hatutoacha kukukumbuka baba, upumzike kwa amani
Inshallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kulifanya ilo.
Poleni wapenzi sisi nyuma yao