Ni muhimu waTanzania watambue na kukumbushwa kwanini Tundu Lissu yupo Gerezani hadi sasa

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,485
Reaction score
26,107
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.

Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo haraka ili swala lake lisiendelee kuwatesa wao, hata kuliko linavyomtesa Tundu Lissu mwenyewe.

Wamejaribu kila njia ya kumtumia ili wajijengee sifa na kujisafisha mbele za waTanzania lakini imeshindikana kwa kukosa ushirikiano toka kwa mfungwa huyo.

Tundu Lissu akisema anataka kutoka gerezani kesho, ni rahisi kwake kuwaeleza tu watawala waovu kuwa atashirikana nao kwenye juhudi zao za kujisafisha; kama vile kushawishi waTanzania wakubali uwepo wa maridhiano FEKI.

Tundu Lissu anaendelea kubaki gerezani kwa sababu hataki kushiriki katika unajisi wa taifa hili na wananchi wake.

Kwa sababu hiyo, Tundu Lissu anastahili kutambuliwa kuwa mzalendo wa nchi hii.
Amekataa kuuza utu wake na wa waTanzania ili ajiokoe nafsi yake mwenyewe.

Kwa hiyo, ni jukumu letu sote kutambua mchango muhimu anaoutoa Tundu Lissu kwa taifa hili.

Na katika pumzi hiyo hiyo, napenda vile vile kuwapongeza waTanzania wengine wote wanaoendelea katika mapambano haya ya kuliokoa taifa letu kutoka wa watu waovu hawa. Namtambua kwa nafasi yake adimu sana Mzee Jaji Warioba.

Historia ya taifa hili itawatambua watu hawa waliosimama kidete kukataa kushiriki katika hujuma dhidi ya taifa letu..
 
Hili halina shaka wala ubishi...

Wanashindwa kuelewa "watoke vipi" kuachana na kesi ya mchongo ya huyu jamaa wakati huohuo waendelee ku - maintain sifa zao za kijinga...

They have to understand that, "...it's impossible to eat their cake at the same time stay remaining in their hands.."

Unaweza kuamini kuwa, hata kumpeleka mahakamani kuendelea na kesi yake tayari kumeshaonekana hakuna maana yoyote kwa kuwa hawana chochote cha kuiambia mahakama kuthibitisha hata chembe ndogo tu ya kosa la uhaini wa kubumbwa wa Tundu Lissu..!

Ooh, Lord Jesus Christ, please BLESS THIS MAN...

Huyu mwamba anastahili ile tuzo muhimu na ya thamani kuu duniani THE NOBEL PEACE PRIZE..

Mungu daima hutafuta watu wenye sifa kama ya Tundu Lissu ili awaheshimishe, yaani watu walio tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine...
 
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.

Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo haraka ili swala lake lisiendelee kuwatesa wao, hata kuliko linavyomtesa Tundu Lissu mwenyewe.

Wamejaribu kila njia ya kumtumia ili wajijengee sifa na kujisafisha mbele za waTanzania lakini imeshindikana kwa kukosa ushirikiano toka kwa mfungwa huyo.

Tundu Lissu akisema anataka kutoka gerezani kesho, ni rahisi kwake kuwaeleza tu watawala waovu kuwa atashirikana nao kwenye juhudi zao za kujisafisha; kama vile kushawishi waTanzania wakubali uwepo wa maridhiano FEKI.

Tundu Lissu anaendelea kubaki gerezani kwa sababu hataki kushiriki katika unajisi wa taifa hili na wananchi wake.

Kwa sababu hiyo, Tundu Lissu anastahili kutambuliwa kuwa mzalendo wa nchi hii.
Amekataa kuuza utu wake na wa waTanzania ili ajiokoe nafsi yake mwenyewe.

Kwa hiyo, ni jukumu letu sote kutambua mchango muhimu anaoutoa Tundu Lissu kwa taifa hili.

Na katika pumzi hiyo hiyo, napenda vile vile kuwapongeza waTanzania wengine wote wanaoendelea katika mapambano haya ya kuliokoa taifa letu kutoka wa watu waovu hawa. Namtambua kwa nafasi yake adimu sana Mzee Jaji Warioba.

Historia ya taifa hili itawatambua watu hawa waliosimama kidete kukataa kushiriki katika hujuma dhidi ya taifa letu..
Wakimtoa akaitisha maandamano tu wameisha
 
Unaweza kuamini kuwa, hata kumpeleka mahakamani kuendelea na kesi yake tayari kumeshaonekana hakuna maana yoyote kwa kuwa hawana chochote cha kuiambia mahakama kuthibitisha hata chembe ndogo tu ya kosa la uhaini wa kubumbwa wa Tundu Lissu..!
Tungekuwa tunavyo vyombo vya habari imara na waandishi wanaofanya kazi zao kwa mjibu wa taaluma yao, hili swala wangeliuliza moja kwa moja kwa muhusika aeleze kwa nini Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani.
Yaani hata huyo mkuu wa Mahakama tu hawezi kuulizwa aeleze chochote?

Hata sijui kesi zote walizofunguliwa CHADEMA zimefikia wapi wakati huu; lakini nadhani kuna umuhimu wa CHADEMA kama chama, sasa hivi waanze kufuatilia na kusimamia maswala haya, ikiwa ni pamoja na kesi ya Mwenyekiti wao.

CHADEMA bado ni chama cha siasa halali Tanzania; mbinu zote zilizotumiwa kutaka kukifuta chama hiki bado hazijafanikiwa; kwa hiyo ni chama halali, na kinatakiwa kionekane kuwa kipo, na kifanye shughuli za siasa kama chama cha siasa.

Wasisubiri Samia ndiye awapangie ratiba ya nini wakifanye.
 
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.

Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo haraka ili swala lake lisiendelee kuwatesa wao, hata kuliko linavyomtesa Tundu Lissu mwenyewe.

Wamejaribu kila njia ya kumtumia ili wajijengee sifa na kujisafisha mbele za waTanzania lakini imeshindikana kwa kukosa ushirikiano toka kwa mfungwa huyo.

Tundu Lissu akisema anataka kutoka gerezani kesho, ni rahisi kwake kuwaeleza tu watawala waovu kuwa atashirikana nao kwenye juhudi zao za kujisafisha; kama vile kushawishi waTanzania wakubali uwepo wa maridhiano FEKI.

Tundu Lissu anaendelea kubaki gerezani kwa sababu hataki kushiriki katika unajisi wa taifa hili na wananchi wake.

Kwa sababu hiyo, Tundu Lissu anastahili kutambuliwa kuwa mzalendo wa nchi hii.
Amekataa kuuza utu wake na wa waTanzania ili ajiokoe nafsi yake mwenyewe.

Kwa hiyo, ni jukumu letu sote kutambua mchango muhimu anaoutoa Tundu Lissu kwa taifa hili.

Na katika pumzi hiyo hiyo, napenda vile vile kuwapongeza waTanzania wengine wote wanaoendelea katika mapambano haya ya kuliokoa taifa letu kutoka wa watu waovu hawa. Namtambua kwa nafasi yake adimu sana Mzee Jaji Warioba.

Historia ya taifa hili itawatambua watu hawa waliosimama kidete kukataa kushiriki katika hujuma dhidi ya taifa letu..
Dunia hii ina watu wakatili sana, Tundu Lissu wanamtesa bila sababu yoyote
 
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.

Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo haraka ili swala lake lisiendelee kuwatesa wao, hata kuliko linavyomtesa Tundu Lissu mwenyewe.

Wamejaribu kila njia ya kumtumia ili wajijengee sifa na kujisafisha mbele za waTanzania lakini imeshindikana kwa kukosa ushirikiano toka kwa mfungwa huyo.

Tundu Lissu akisema anataka kutoka gerezani kesho, ni rahisi kwake kuwaeleza tu watawala waovu kuwa atashirikana nao kwenye juhudi zao za kujisafisha; kama vile kushawishi waTanzania wakubali uwepo wa maridhiano FEKI.

Tundu Lissu anaendelea kubaki gerezani kwa sababu hataki kushiriki katika unajisi wa taifa hili na wananchi wake.

Kwa sababu hiyo, Tundu Lissu anastahili kutambuliwa kuwa mzalendo wa nchi hii.
Amekataa kuuza utu wake na wa waTanzania ili ajiokoe nafsi yake mwenyewe.

Kwa hiyo, ni jukumu letu sote kutambua mchango muhimu anaoutoa Tundu Lissu kwa taifa hili.

Na katika pumzi hiyo hiyo, napenda vile vile kuwapongeza waTanzania wengine wote wanaoendelea katika mapambano haya ya kuliokoa taifa letu kutoka wa watu waovu hawa. Namtambua kwa nafasi yake adimu sana Mzee Jaji Warioba.

Historia ya taifa hili itawatambua watu hawa waliosimama kidete kukataa kushiriki katika hujuma dhidi ya taifa letu..kwa iyo unaataka kusema angelikua mbowe angeshatoma na kwenda ikulu kabisa
 
Kikundi haramu(regime)kinachotawala kinajuta na kujilaumu kwa maamuzi yao ya kipumbavu dhidi ya TAML.Kumbadilisha hulka mtu kama TAML kibabe ni ngumu mnoo.Kuna watu wengine siyo wa kuwajaribu.Ni kukubali kuishi nao hivyohivyo hata kama hutaki na haupendi.
 
Sisi waTanganyika tunajua Kila kitu kwanini TL yupo gerezani hata huko kijijini wanajua vizuri tu. Hatuitaji swaga wala biti la aina yoyote kutoka kwao ukweli wote upo bayana
 
Hiyo ndio gharama ya kuwa mwanasiasa wa chama cha upinzani lazima uwe tayar kulipia gharama fulani katika harakati za kuyaendea yale unayoyaamiini

Tumeona kwa akina Kizya Besige wa Uganda,Mondlandi wa Msumbij,kwahiyo kuwa mpinzani ni gharama kubwa
 
..wajifunze kutokana na makosa waliyoyafanya.
Hakuna "makosa waliyofanya". Makosa hufanyika kwa kutenda jambo ikiaminiwa jambo hilo linafanyika kiusahihi ili matokeo yake yawe sahihi. tokea mwanzo.
Samia na Genge lake walinuia/walifanya jambo walilojuwa siyo sahihi wakiwa na mategemeo ya kupata matokeo mazuri; ya kuwawezesha kubaki madarakani.

Kesi iliundwa kumtoa Tundu Lissu na chama chake njiani, ili matokeo ya udanganyifu wao yawanufaishe wao

Haya yote waliyatimiza, wakijuwa ni makosa.

Kwa hiyo hawana chochote cha "kujifunza"
 
Hiyo ndio gharama ya kuwa mwanasiasa wa chama cha upinzani lazima uwe tayar kulipia gharama fulani katika harakati za kuyaendea yale unayoyaamiini

Tumeona kwa akina Kizya Besige wa Uganda,Mondlandi wa Msumbij,kwahiyo kuwa mpinzani ni gharama kubwa
Unasikitisha sana na akili za namna hii, mtu ambaye mwanzo ulionekana kuwa 'balanced' kabisa.
Lakini yote haya unalazimika kuzima akili namna hii kwa sababu zipi hasa; kumtetea mwovu Samia kwa kuwa unahusiana naye kivipi?

Unazungumzia "Mondlane", anahusiana vipi na ushetani huu unaofanyika hapa?

Tulijuwa toka mwanzo kabisa; kwamba 'model' aliyopanga kuifuata Samia ni ya huyo Museveni; lakini Samia hakujuwa kuwa Museveni na yeye ni vitu mbalimbali kabisa.
Sasa tazama matatizo makubwa aliyojitengenezea mwenyewe hapa na nyinyi washangiliaji wake mkiendelea huku mkijuwa wazi kuwa mtu wenu kishaharibu vibaya sana.
 
Back
Top Bottom