Hukuwepo brajec survey? Subiri next round,kama upo darDuuuh!!kumbe ilikuwa uwanja wa nyumbani nami ckuwepo wala kuwa na taarifa!!!?
Poa Ciello, mimi napenda physical attack. Natumaini hukupatikana kupitia internet.
Kwan internet zililetwa za nini?
Kwa upande wako sio mbaya sana, lakini inaweza kuashiria mumewe kukosa ujasiri wa kuapproach wanawake. Au ile watu kufanya kama mzaha halafu ikawapelekea kwenye ndoa.
Kwa Tanzania hii ambapo wanawake wapo kila kona tena wazuri na unakutana nao physically, siwezi kujichanganya humu jf ati natafuta mke, crazy! Hii labda ni kwa wale jamaa ambao hawawezi kutongoza uso kwa uso, hapa sasa wamepata pa kufanyia mazoezi.
Vitu vingine ni Awkward! Yaani marafiki au majirani au ndugu au watoto siku nyingine wakiuliza, mfano baba ulikutana na mama wapi hebu tupe story, ati jf!
mkuu tafadhali usiishushie hadhi jf... kwa jf ni kama sehemu zozote zile ambazo watu hukutana na wakavutiana mwisho wa siku wakapenda na wakatengeneza familia
ngoja nikupe mfano mdogo kwa kutumia mfano wako.. umepropose watu wakutane.. basi katika kukutana mimi na wewe tukabadilishana contact kwa ajili ya business flan tofauti na mahusiano... na wakati huo mimu au wewe hatukuwa na interest hata kidogo isipokuwa kibiashara tu. in the long run ukavutiwa na mimi na ukanitaka nije kuwa mama watoto wako... je utazuia hisia zako kisa tulifahamiana via jf????

Sasa sisi wenye sura nyangau hatuoi wala kuolewa?
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
charminglady Ciello anakuambia ndoa za mzaha ni tamu, ina maana yeye amekuwa kwenye ndoa mara kadhaa, lah?
Hahahahahah nshapitia ka 7 hivi,vp unataka uwe wa nane?
Wewe mtoto Ciello, mpaka utulie ndio nikuconside, hahahaaaa!
Disemba 28 tukutane tanga, wewe ni me au ke? Soma sred inayoanza na ..werawera.. Ya wanaarusha.
Dogo jiangalie mie niko in ma early 50's....