Huyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni 😀😀😀 mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu 😄😄😄 mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa 🍻NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.
Aliyekuwa demu wa jet liKelly ameinspire wengi sana akiwemo the late Aaliyah
Dido don't leave homeDido life for rent View attachment 2315579
Mimi napenda kule mwisho yaani naipenda hadi keshoKibao kizuri hiko nakumbuka nlikuwa bondeni kwa madiba kipindi inatoka nadhani 2007 au 2006