Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,295
14,118
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Screenshot_20220805-223037.jpg
Screenshot_20220805-222617.jpg
 
NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.
Huyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni 😀😀😀 mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu 😄😄😄 mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa 🍻
 
Back
Top Bottom