Jana kuna jamaa ameweka thread,mengi tu ameyasema na kuropoka kuhusu Arusha.Wadau naomba mnijuze wapi maisha ni rahisi? Ukiangalia Dar,Pwani,Zanzibar,Tanga,Lindi,Morogoro,Mtwara n.k n.k ndo kuna vijiwe vingi na wachagua kazi wengi na wapenda umwinyi na starehe.Hamuoni posho za wabunge dodoma zimepanda kutokana na kupanda gharama za maisha?