Ni mkoa gani una maisha rahisi hapa Tz?

Dodoma.
Sehemu za kulala zinaanzia buku 3 mpaka 35.
Nyama rahisi mnadani na chako ni chako.
Msimsikilize spika anatupotosha
 
jana kuna jamaa ameweka thread,mengi tu ameyasema na kuropoka kuhusu arusha.wadau naomba mnijuze wapi maisha ni rahisi? Ukiangalia dar,pwani,zanzibar,tanga,lindi,morogoro,mtwara n.k n.k ndo kuna vijiwe vingi na wachagua kazi wengi na wapenda umwinyi na starehe.hamuoni posho za wabunge dodoma zimepanda kutokana na kupanda gharama za maisha?

njombe kwa spika
 
Mtwara, Vyokolo, makombe, kumbwa na Pweza unaenda
kutafuta mwenyewe baharini.
Pweza bonge la booster
 
Dodoma maisha very simple. Guest mpaka buk, misos chee. Posho ni utapel. Je bunge lingekua linaendeshwa arusha au dar ingekuaje?
 
Kila mkoa una urahisi wake.
Kuna uliokua rahisi kupata chakula,
mwingine rahisi usafiri,
mwingine rahisi kupata mwanamke,
mwingine rahisi malazi,
mwingine viwanja chee, n.k
 
Jana kuna jamaa ameweka thread,mengi tu ameyasema na kuropoka kuhusu Arusha.Wadau naomba mnijuze wapi maisha ni rahisi? Ukiangalia Dar,Pwani,Zanzibar,Tanga,Lindi,Morogoro,Mtwara n.k n.k ndo kuna vijiwe vingi na wachagua kazi wengi na wapenda umwinyi na starehe.Hamuoni posho za wabunge dodoma zimepanda kutokana na kupanda gharama za maisha?
Kama unatafuta kazi hapo sijui, ila kama we ni hustler, njoo uswahilini tandika huku tule raha!! acha uoga, you can sell anything at anytime!! You can even keep some birds (if you are a pimp you will understand), msosi ni bei rahisi sana kama ni bachelor,


Breakfast subiri saa tano na nusu wauza chapati na maandazi wanakushushia bei ,
Lunch unaweka bill kwa mama ntilie mwezi mmoja!
Supper huwa tunakula njalo!! njalo ni mabaki ya pilau na makoko yake pale hotelini, sinia jero tu! na mchuzi wa nyama uliobaki na njegere zote mnamwagiwa juu ya sinia... mnaweza kula maximum wanaume wanne wa shoka!!
usisahau kuja na ndizi.
 
Nipo Chang'ombe dodoma. Wali nyama sh 250/=
Chai na chapati sh 150/=! Ukiwa na buku siku inaisha!

hapa umeongea masihara rejao. Dodoma hakuna kitu cha bei rahisi. Kila kitu bei juu kuanzia vyakula mpaka mazaga zaga mengine. Yaani nafuu mtu ufunge safari ukafanye shopping dar kuliko huku.
 
Back
Top Bottom