Ni mkoa gani una maisha rahisi hapa Tz?

Muamba ngozi huvutia kwake! Iringa bomba na iko juu!!!!!!
Mkuu usinitoneshe kidonda,Iringa maisha yako juu vibaya yaani nakumbuka kipindi nipo dar angalau maisha yalikuwa simple.Hapa iringa mchele kilo1=2000,cooking oil 1 litre=4000,sukari 1 kilo=2500,ndizi moja=200,parachichi dogo la kawaida=500,kuku jogoo mdogo mdogo=15000 n.k,yaani bora uniambie mkoa wa Mbeya hapo nitakuelewa.
 
hapa umeongea masihara rejao. Dodoma hakuna kitu cha bei rahisi. Kila kitu bei juu kuanzia vyakula mpaka mazaga zaga mengine. Yaani nafuu mtu ufunge safari ukafanye shopping dar kuliko huku.
Tembea maeneo ya Chang'ombe, chaduru, maili mbili, mbuyuni na swaswa. Huku ukiwa na income ya 50,000 kwa mwenzi wewe ni tajiri. Ndio maana makorokoroni wengi wanaishi kwenye hii mitaa
 
Back
Top Bottom