Tatizo sio mtu. Tatizo mfumo ulivyo.. wew unadhani Kwa mfumo huu ambao hauna uwezekano wa kuajiri watu wote unaowasomesha kazi itakuwa ndogo?.Mindsets za wadogo zetu zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri. Hauoni kama kuna tatizo hapa mkuu?
Kazungumzia upande wa mwajiri na kaujiriwa.Motivation ni nzuri Kwa self making sio watu wengine
Mzee wa kupambania una ulizwa swali, una uza nini huko kariakoo🤒Uko sehem gan nije kukuona wikend. Unauzia nn
Simu na accessories zake mixer vifaa vyote vya electronicsUko sehem gan nije kukuona wikend. Unauzia nn
Mkubwa nipe kibarua Basi🤒🤒Simu na accessories zake mixer vifaa vyote vya electronics
Njoo k/koo tupige uwingaMkubwa nipe kibarua Basi🤒🤒
Oya mkuu kuwa serious Basi, mi dar nauli Sina🤒🤒Njoo k/koo tupige uwinga
Panda lori njooOya mkuu kuwa serious Basi, mi dar nauli Sina🤒🤒
Rich dad and poor dady is sentiment rascalKazungumzia upande wa mwajiri na kaujiriwa.
👉So kasome kwanza ndo tuje tujadiliane.
DiplomaHabrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne.
Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Mkuu wewe Ume ambiwa 21 business century, hio Rich Dad ya wapi🤔😂😂Rich dad and poor dady is sentiment rascal
Makazi vipi sasa, maana Niko nanjilinjii 🤓🤒Panda lori njoo
Njoo kwanza mengine yatajiset hukuhukuMakazi vipi sasa, maana Niko nanjilinjii 🤓🤒
Ili nije nililie stand ehh🤒Njoo kwanza mengine yatajiset hukuhuku
Hayo makaratsi hayatokupa mchongo mjini,ujuzi kichwani na connection ndo mpango mzimaHabrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne.
Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Bora umempashaSitaki kuwa negative Sana but exam performance na mafanikio ya mtaa ni vitu viwili togauti.
One can make wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper,
but iam telling you it's quite different ukija kwa mtaa na expectations zako!!, Huku Ina takaiwa juhudi na kujituma Sana.
hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).
Mtaa una hitaji uwe smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.
👉 I mean no malice to nobody
Gily Gru, Analyse, Glenn, Ushimen, Ms eyes, mshamba_hachekwi, KJ07, National Anthem, Mzee wa kupambania
Shida watu uki waambia ukweli mchungu, Wana Anza mbona watu walio Soma ndo Wana hela😂😂Bora umempasha
Kwakifupi life is not a straupight line
Inasikitisha sana ndugu yanguTatizo sio mtu. Tatizo mfumo ulivyo.. wew unadhani Kwa mfumo huu ambao hauna uwezekano wa kuajiri watu wote unaowasomesha kazi itakuwa ndogo?.
Mtu anasotea uhasibu miaka 3 Kwa Imani akiajiriwa take home 1m au 800k Leo hii mwaka wa tatu aanze kufikiria kufungua genge mtaj laki 1 azungushe ni kitu kidogo mentally?
Si kweliUkikusanya watanzania 1000 randomly ambao wanaingiza kipato cha 50,000/= kwa siku, 90% ni watu wenye kuanzia degree moja kwenda mbele.