Thanks,Kadri unavyojibizana na mwanamke ndivyo unavyoshusha mamlaka yake kwako......ndivyo anavyopata muda wa kujenga himaya yake kwako.....ndivyo anapata kuyajua madhaifu yako........ndivyo anavyojua kiwango chako Cha uelewa na kuyachukulia mambo.........
Kitu ambacho wewe umejaribu kumuelewesha ndio uhalisia wako na maamuzi ya pamoja juu ya jambo Hilo ndio mpaka wa mamlaka yako kwake.....yeye anatumia hisia kujibizana na wewe wakati wewe upo kwenye uhalisia kulingana na hali ya uchumi kwa wakati huo........
Kujaribu kutoa maelezo marefu mbele ya mwanamke juu ya jambo ambalo lipo wazi kiuhalisia na udhaifu mbele ya mwanamke na yeye analijua hilo ndio maana anayatingisha mamlaka yako........
Baki kwenye akili kulingana na uhalisia alafu endelea na shughuli zako..........
Tumeagizwa tuishi nao kwa akili na sio kwa hisia....
Huu uzi nilikuwa naupita siusomagi leo nimeusoma nimecheka kweli 🤣🤣🤣Wakuu,
Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.
Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,
Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]
View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Niko dar mkuuKabla ya kutoa ushauri ningependa kujua bro upo mkoa gani maana bei ya vyakula hupanda na kushuka kulingana na eneo husika kama ingekua ni kwa kanda ya ziwe hyo 5k ni pesa inayotosha kwa mlo wa siku nzima so sjajua huko ulipo hali ikoje
Otherwise hyo inaweza kua trick ya kukuchuna cause she knows kwamb ume Fall in Love na upo teal kufanya lolote ndo maana anakujibu kwa kibur na dharau ili ujichanganye kuyaweka sawa upigwe pay ya maana
Wee tatizo yako akili yako iko Kasi Kama umeme, ushawaza vitu vya ajabu ajabu tayar[emoji848]Tatizo umeanza kumshindisha na kulalisha na njaa wifi yetu.....anasema"usiku mwema Mimi nalala na njaa uku"[emoji2]
Kwa meseji hizo nimeelewa kwa Nini hupindui kwa mama J
Unakuja kuzaa na popoma!Hana mtoto huyu (hatujazaa)
Jina la Jasmin Huwa nasema Ni mtoto wetu wa kwanza Kama akijazaliwa wa kike. Ndo jina alilochagua tu
Sijawahi kuona mchepuko wenye akiliMchepuko mkuu
Sijawahi kuona mchepuko wenye akiliMchepuko mkuu