Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Naupokea USHAUR wako mkuu[emoji120]Mkuu piga chini huyo mchepuko utapata mwanamke anayehishimu kile kidogo unachompatia.
Na pia mkuu, sikufundishi juu ya la kufanya lakini mwanamke akikosea aadhibiwe, zaidi ya hapo ataendelea kufanya kosa lilelile kila siku.
Cheers
Kiukwel uyu mwanamke Ni pasua kichwa mno chiefDemu keshaelewa kwamba huchomoi! kama anakuhudumia utelezi kwa kiwango cha 5G huna budi kuprovide otherwise atayeya huyo. Na siku zote mwanamke akiwa jeuri jeuri kama hivi ujue kabisa yupo mwingine waku backup once mambo yakienda mrama ndo maana anakutingisha atakavyo.
Sahii kabisa mkuuVitu vingine ni aibu kuviweka mbele za watu na majigambo yote kuhusu huyo mchepuko wako. Ni aibu mwanaume kutoa 15,000 then unascreen shot na kusema umetoa pesa za matumizi. Binafsi nakushauri, enu tunza familia yako bro huko ndipo utapata baraka na achana na habari za michepuko. Hii 15 unayoiona ni nyingi na kumsimanga mtoto wa watu ungekuwa umeiacha kwa mkeo nafanya jambo la maana. Nilichojifunza kwako, bado sana kiuchumi na kinachokutesa ni tamaa tu.
Kabisa,[emoji23][emoji23][emoji23] me kama me sina time ya kujibizana na mwanamke kwa njia ya sms ata wife akizingua hutuma magazeti kama yote but me humakushia tu halaf hii hulk ya wanwake kulalamika kwa njia ya sms wanapenda mnooo ukimpigia cm ukimwambia ongea ayo maneno yako wanakaa kimya tu [emoji16]
Siwez kufanya utoto wa namna Ito mkuuMiandiko yote ni ya Mtu mmoja, JF imeshakuwa na Watoto wengi sana siku hizi.
Hadi hapo sina cha kukushauri... Hata yeye anakupelekesha hvo akijua wazi hupinduiMchepuko,
Hapo kwenye Kupiga chini kabisa siwez kukuficha Ni kipengele mkuu
Yale yale ya faiza na bloo wetu malafyale. Kuzaa nae ni hatari zaidiMpe kitambi, atulie
Daaaaah ni balaa mwanang ila hawa wanawake jmni daaaah yaan elf 5000 haitoshi kula mlo mmojaWakuu,
Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.
Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,
Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]
View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Naungana na ww mkuu. Mzinzi lazima uwe mjanja na akili nyingi ila huyu mwenzetu kama anatukataa iviSema nini mwana achana na huyo manzi aisee utakuja kujuta mbeleni
Hili ni onyo kutoka kwa mzinzi mwenzako
Hivi mnawaokota wapi wanawake wa hivi? Duu kazi mnayoMkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.
Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.
Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.
Hahaha , hela zake anafugia majini au? Mtu anafanya kazi halafu anakuambia atalala na njaa, hebu mchunguzi vizuri, sio mzima huyoHapana mkuu,
Tuna mwaka wa 4 huu,
Anajua biashara zangu nafanya nn kusurvive.
Kidg nnachopata namhudumia Kama mwanamke wangu,
Kuanzia kula,kuvaa Hadi Kodi namlipia.
Na kazi nmemtaftia mimi anayolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi na posho ya kula kazin anapewa kila siku.
Ila bado sijakwepa kumpa posho ya kula kila siku.
Angekua mstaarabu angejiongeza hata kwa posho ya kazin anunue chakula ale, na sio kuleta kejeli za kijinga