Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

Faida wanazotaja either ni mutually au mambo ambayo wangeweza kufanya wao binafsi bila uwepo wa mwanamke. Suala la kununua kiwanja na kujenga hauhitaji kuamasishwa na mwanamke

Suala la sex na watoto ni mutually. Mwanaume pia anatoa mbegu na anafadhiri kifedha safari yote ya ujauzito mpaka kujifungua, pia watoto ni wa wote. Suala la sex pia ni starehe ya wote

Mpaka dakika hii sijaona hata mmoja alietaja kitu ambacho mwanamke alikifanya single handled kikabadilisha maisha yake mfano wanaume wanavyosomesha wanawake, kuwafungulia biashara, kuwapa mtaji, kuwatoa kwenye dhiki n.k
Hakuna atakae jibu hili
 
Wakuu

Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?

Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.

Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Boss, i have Nothing to report. Ningejua nisingeoa.
 
Faida wanazotaja either ni mutually au mambo ambayo wangeweza kufanya wao binafsi bila uwepo wa mwanamke. Suala la kununua kiwanja na kujenga hauhitaji kuamasishwa na mwanamke

Suala la sex na watoto ni mutually. Mwanaume pia anatoa mbegu na anafadhiri kifedha safari yote ya ujauzito mpaka kujifungua, pia watoto ni wa wote. Suala la sex pia ni starehe ya wote

Mpaka dakika hii sijaona hata mmoja alietaja kitu ambacho mwanamke alikifanya single handled kikabadilisha maisha yake mfano wanaume wanavyosomesha wanawake, kuwafungulia biashara, kuwapa mtaji, kuwatoa kwenye dhiki n.k
Ukitaka tukueleze Ukweli, hutaamini. Kuna wanawake wa aina mbili. Moja ni mjenzi wa familia; wa pili ni kifaa cha starehe cha mwanaume. Wengi hapa mnazungumzia mwanamke wa pili. Hakuna mwanamke anayeweza kucombine vyote. Akiwa na kimoja kingine anakosa.

Usipoelewa mwenzi wako (ishi nao kwa akili) ukajua faida yake kwako ni nini. Ndipo unavurugikiwa.

Sie tuliooa namba moja, mengi wametufanyia wake zetu kiuchumi na ni watafuta senti haswa. Ile ya starehe tunaipata kwa akina Lamomy
 
Thread ndio inataka mtuambie hizo tangiable contributions za wake zenu. Achana na maelezo mengi wewe kuwa straight. Sema mke wangu alinilipia ada ya chuo, alinipa mtaji wa biashara, alijitolea kufanya kazi bure wakati naanzisha kampuni yangu n. k
 
Matraco yako na ukome kuniingiza kwenye comments zako zisizo na afya..!!
 
👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 utazeeka nyumbani, punguza ukali. kwa sura na shape ipi ya kuringa nayo bibi wewe?
Tulielezwa ni kuishi nao kwa akili. Ila kWa kawaida mwanamke huwa anajiona mzuri na kila wakati anadai. Huwa hawajui kuwa kitu kinachopendeza na kukimbiliwa kikiwa kimekomaa na kuiva ni tunda kama embe, Papai na si binadamu hususan mwanamke. Tumsamehe bure Lamomy kipenzi changu
 
Wakuu

Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?

Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara, na jamii, na jinsi mchango wao mara nyingi hauonekani hadharani lakini ni muhimu sana.

Je, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Hilo swali kamuulize mama yako
 
Thread ndio inataka mtuambie hizo tangiable contributions za wake zenu. Achana na maelezo mengi wewe kuwa straight. Sema mke wangu alinilipia ada ya chuo, alinipa mtaji wa biashara, alijitolea kufanya kazi bure wakati naanzisha kampuni yangu n. k
Ndugu yangu, mwanamke wife material hujidhihirisha hata wakati wa uchumba. Utaona ushauri wake katika matumizi ya hela hata kama yeye hana Pesa. Utaona matumizi yake yakoje? Matamanio, maamuzi etc.

Wife material atakupambania, mfano unataka Kwenda kwao Kutoa mahari, yeye atahangaika na kujua ni Kiasi gani kinatakiwa, na njia ya kukipunguza ili hata kama una hela, zifanye mengine. Lakini kuna wale ambao wanataka kuonesha kwao kuwa Mchumba wangu anazo.

Nirudi katika swali lako la msingi, inategemea bibie ana ukwasi kiasi gani ili afanye uliyoyaorodhesha. Na pia inategemea na wewe ni Mario au mwanamume wa shoka kiasi gani. Kumbuka wanawake si risk taker na ni projector wazuri. Wana invest pale penye faida tu.
 
Hili suala la matatizo ya afya ya akili inabidi lichukuliwe serious hususani kwa vijana wa kiume, haingii akilini mtu kukosa akili kidogo ama utashi wa kuamua kununua kiwanja na kujenga(kama pesa ipo) mpaka ashauriwe na mwanamke????!!!!! Vijana maji maji
 
Mafanikio ya Mke wangu katika maisha...
Kabla ya ndoa ndie alienishawishi kurudi kuoa na kuendelea kuishi Tanzania kitu ambacho nilitamani sana katika maisha yangu sikutaka kuoa wazungu au mwanamke tofauti na Mtanzania niliona athari zake kwa waliofanya hivyo nje.
Mali nyingi hasa Viwanja nikipanga kununua na kujenga anakua mstari wa mbele ili tutekeleze hiyo ahadi..
Anawapenda watoto na wanafamilia na kuwaweka katika maadili ya kujua dini..
Anapenda na kuwasimamia watoto wapate Elimu bora..
Anaheshimu pesa hata nikiwa sina kitu life inaenda bila changamoto yeyote tutakula kilichopo...
Changamoto zake zipo ila faida ni kubwa kuliko hasara..
Nimeanza uhusiano nae mwaka 2000 nikiwa Cape Town leo hii nina watoto watatu na mmoja mkubwa wote tunaishi Tanzania ila utafutaji wa magari na Parts nafanya SA mtoto mkubwa namtafutia college Pretoria maana anaonekana anajitambua na anataka sana Elimu..
Mwanamke wangu anampenda Mama yangu hiki kitu ni zaidi ya vyote huko juu nami pia nafanya hivyo kwa mzazi wake..
Namshukuru Mungu kwa kupata Mke bora na naamini kama kutakua na changamoto labda mimi ntakua nimeharibu sio yeye maana yeye kanyooka sana maana familia yao wamekulia kwenye maadili ya dini wana hofu ya kweli kwa Mungu na wana upendo..
 
Back
Top Bottom