kUla vizur na kwa wakatiSwali ni kipi kilichokupa faida kwa kuwa nao?
Tuanze nawew mwenyew kunalipi kati ya uroodhesha asieoa hawez pata?Unawezaje kupata hayo bila kuoa?
Mimi mwanaume akiniambia eti maendeleo ameyapata kupitia mwanamke huwa namuona ana shida mahali.Ulinuñuaje kiwanja kupitia mkeo? Unajifunza kama kitu gani kwa mkeo? Wewe ni mwanaume lakini?
Zaidi ya kummwagia manii/shahawa hakuna kingine sanasana ni kupoteza hela tu.. hayo ndio mafanikio niliyoyapata kuipata sehemu ya kukojolea haya majanaba yenye harufu kaliJe, ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?
Hajaomba msaada hadi sasa.Mada itanoga sana na nyie mkichangia. Wewe unaona unamsaidia nini mumeo mkuu?
Endelea kuamini unachokiamini. Tafadhali mkuu endelea na maisha yako sina nafasi ya kuendelea kujibizana na wewe.Tuanze nawew mwenyew kunalipi kati ya uroodhesha asieoa hawez pata?
Hakuna. Kwenye kuishi na mwanamke, mwanamke ndio anafanikiwa.
Nje ya mada: Kuoa ni jadi ya hovyo sana tuliyorithi toka kwa mababu. Miongoni mwa jadi zilizopitwa na wakati basi ni pamoja na kuoa/kuoana. Kuoa ni mtego.
HakunaaaaaTumepatikana kupitia wao
😂Ndoa Ina hasara tu, nazo ni:-
1. Kutwishwa zigo la kifedha (financial burden)
2. Kukosa uhuru binafsi.
3. Sonona na kukosa usingizi.
4. Kuota kitambi kwasabb ya kula chakula duni, mfano wali na maharage, chai na maandazi, ugali na dagaa, n.k
Apostle nini kilitokea?
Pole sana ndugu yangu ni maumivu sana...mapito Ndugu yangu..Dr. ni mambo ya ajabu kabisa yaliyokea, mali zangu nilizotafuta kwa jasho na damu zilipigwa pasu mbele ya pilato kisa divorce. 😊
Faida wanazotaja either ni mutually au mambo ambayo wangeweza kufanya wao binafsi bila uwepo wa mwanamke. Suala la kununua kiwanja na kujenga hauhitaji kuamasishwa na mwanamkeHapa sijaona jipyaaa😄😄
Pole sana ndugu yangu ni maumivu sana...mapito Ndugu yangu..
Hope Leo upo strong than ever..
Cc:SweetfellaWanaume huwa hawacheki kizembe hivyo
Mkeo anakupikia chakula, anahakikisha nyumba ni Safi na salama, anakupa akili iliyotulia (kupitia tendo la ndoa), anakufulia nguo, ukiumwa anakuuguza
Leo unasema hakuna faida yoyote kuwa na mke. Ni upumbavu huo
Inategemea mke wa aina gani na mipango yenu ikoje.