Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Sikuzidi wewe uliyeandika kilofa.
Yaani akiliyako imetwaliwa na mawazo ya kimaskini maskini tu,kama wewe huwezi kuishi hayo maeneo na hiyo hali yako duni haimaanishi kila mtu hawezi kuishi .Mtu hata humjui unasema hawezi kuishi hayo maeneo sasa hapa kati ya mimi na wewe nani ni pumbavu?
 
Hana hela huyo,angekuwa na pesa asingebwabwaja humu JF,mfano,ulimuona wapi Dewji anapiga mikelele.
nashawishika kuona nyie watu hamna akili.

Wajuaji kama nyie ndio huwa hamna kitu kabisa
 
Wakuu, Habari zenu nyote.

Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada ya kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro.

Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu yananilazimu kusafri.

Hiyo sehemu iwe na maji ya uhakika na yasiwe maeneo yenye vibaka.
Area five , Cida Estate, Forest Hill, Kola Hill, Bigwa, Nanenane, Mfuluni, Kigurunyembe. kimsingi maeneo ni mengi na yanatofautiana kulingana na kipato chako kwahiyo kikubwa ni bajeti yako tu mkuu ila kwa hali ya usalama kwa morogoro ipo vizuri japo ni ukweli kwamba yapo baadhi ya maeneo kidogo ni purukushani.
 
Boss, kwa umbali huo panaweza kunifaa.
Naweza pata nyumba ya budget ya 250k na isizidi 300k iwe nzuri na yenye fence maeneo hayo?
achana na huko kingorwila mbali na mji mkuu. kama uko serious nipm nikuunganishe nyumba nzima unapata bei 250k maeneo ya kola. nyumba ipo pembezoni mwa lami, utulivu mzuri, parking hata gari nne, ndani tiles nje paver no mchanga, maji 24hrs na kuna tenki lako la maji na mota yake. nyumba iko kwenye fensi kubwa usalama ndio kwake. kutoka hapo kola hadi mjini ni 5kms so utatumia almost dakika 5 tu kufika mjini. usafiri public ni bajaj na daladala nauli tsh 400 hadi town. mwenye nyumba ninajuana nae vizuri kwa hiyo kwenye terms zingine nadhani hamtashindwana. nitafute 0710524514 ukiwa tayari.
 
Kihonda magorofani na Airport, Kwingine kuliko tulia huna hela ya kukufanya uishi.
pengine anajimudu,maana hajasema anatafuta nyumba ya bei gani mkuu,taasisi za maana zinalipa pango kwa wakuu wake wa hizo taasisi
 
Wewe umejuaje hana hela?

Hivi watu wa jf tukiwa nyuma ya keyboard tunapata wapi huu ujuaji wa maisha ya watu, Ukiwa wewe huna hela unadhani wengine wote hawana?

Yeye kauliza maeneo wewe mwambie, yeye mwenyewe ataenda kujipima.
Fact
 
achana na huko kingorwila mbali na mji mkuu. kama uko serious nipm nikuunganishe nyumba nzima unapata bei 250k maeneo ya kola. nyumba ipo pembezoni mwa lami, utulivu mzuri, parking hata gari nne, ndani tiles nje paver no mchanga, maji 24hrs na kuna tenki lako la maji na mota yake. nyumba iko kwenye fensi kubwa usalama ndio kwake. kutoka hapo kola hadi mjini ni 5kms so utatumia almost dakika 5 tu kufika mjini. usafiri public ni bajaj na daladala nauli tsh 400 hadi town. mwenye nyumba ninajuana nae vizuri kwa hiyo kwenye terms zingine nadhani hamtashindwana. nitafute 0710524514 ukiwa tayari.
Nashukuru boss nakupigia
 
Kweli kola pametulia maji bwerere mie nimeishi maeneo ya dragonaire!
 
Back
Top Bottom