Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

Nimesomea Morogoro na kuishi Forest Hill.

Nakushauri nenda kaishi Forest Hill Kama kweli una Nia ya kukaa sehemu Safi iliyotulia. Changamoto ya forest ni usafiri maana Hakuna daladala huko Ni bodaboda au uwe na gari lako.

Ila Kwasisi vijana tulikuwa tunajitembelea zetu kwa mguu Hadi mjini sio mbali ni Kama kilometer 3 hivi.

Karibu Forest Hill chini ya Safu za milima ya uluguru.
 
Sure! Ni sehem nzuri Sana ...!..yes unatembea unatokezea hapa karibu na Moro hotel..lols!
 
Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc
Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya, kaloleni, kichangani etc.
Kama wewe haupo kundi lolote kati ya hayo nenda chamwino au manzese
 
Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc
Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya, kaloleni, kichangani etc.
Kama wewe haupo kundi lolote kati ya hayo nenda chamwino au manzese
 
Nimesomea Morogoro na kuishi Forest Hill.

Nakushauri nenda kaishi Forest Hill Kama kweli una Nia ya kukaa sehemu Safi iliyotulia. Changamoto ya forest ni usafiri maana Hakuna daladala huko Ni bodaboda au uwe na gari lako.

Ila Kwasisi vijana tulikuwa tunajitembelea zetu kwa mguu Hadi mjini sio mbali ni Kama kilometer 3 hivi.

Karibu Forest Hill chini ya Safu za milima ya uluguru.
Usafiri haina tatizo.

Apartment ya vyumba vitatu bei gani kwa mwezi maeneo hayo?
 
Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc
Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya, kaloleni, kichangani etc.
Kama wewe haupo kundi lolote kati ya hayo nenda chamwino au manzese
Apartment nzuri ya familia ya vyumba vitatu vya kulala inagharimu bei gani kwa mwezi maeneo ya Forest, kihonda, bigwa na Mazimbu?
 
Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc
Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya, kaloleni, kichangani etc.
Kama wewe haupo kundi lolote kati ya hayo nenda chamwino au manzese
Hahaha chamwino na manzese wanakaba mpaka mchana, humtakii mema. Siku akifika tu lazima wampe promo.
 
Back
Top Bottom